Kuna watu kila day huko wao nikutangaza wanatoa zawadi za iPhone Wakiambatanisha na picha za cm izo.....Masharti huwa ni marahisi tu wewe niku like na kushare ujumbe hahahaaaaaaa.....Sijui washashinda wangapi na watoaji wamefanikiwa kwa kiasi gani.Wangetoa Samsung ingependeza zaidi.