Zawadi yenu mabinti wa JF


Eeehhh!!! Nyama ya paja au kipapatio hicho???!!! Hehehehehheeee
Mie huwa najiuliza hivi pu.mbu. Au ko.ro.da.ni za ngombe na mbuzi machinjioniuwa zinachanganywa kwenye nyama au huwa wanazifanyaje? Japo kuna mmasai mmoja aliniambia hiko kwao wanazila tena mbichi mmmhhh
Hii nyama ukiikuta supermarket wanunuzi wakewakubwa watakuwa wanawake looh
Week end njema jamani mie zangu mbavu na nyama hiyo sjui niichome aunichemshe chukuchuku heheheheee
 
Loh asante, sasa yaliwaje hiyo!
 

hahaha mkuu mkunde hivyo viungo vya wanyama wa kiume unavyosema huwa havichanganywi kwenye nyama ni kama mkia ama ulimi kwenye michemsho ya kongoro ama ulimi ama mkia ndipo hupatikana.wewe ukifika sema tu nipatie 'yellow man' utaulizwa na mpini wake? hizo koroda...zinaitwa yellow man maana zikichemshwa zinakua.njano kama kiini cha yai la kuku kienyeji..nilizigundua baad ya siku moja kwenda kupata ulimi mahala nkakuta jamaa anazikatakata nkamwambia hiyo ni nini brother inatamanisha hivyo? duu alivoniambia.ni hao.jamaa baas..ila akaniambia wanaume tu ndo hula..kwa dar nlisikia.vingunguti na buguruni huwa zinachomwa sana hata matiti unapata..
kuhusu hiyo picha hata kam ni steki ikatengenezewa shepu hiyo sili ng'ooo...
 
Kwa kuchemsha au kubanika?!
Manake hmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…