Zawadi Nono: Hii picha ilipigwa sehemu gani barani Africa

Mods, hebu tusaidie kuikuza hiyo picha vizuri, sitaki watu wapate kisingizio.

Tiba
attachment.php
 
mkuu mleta mada,hiyo picha ni ya mji uitwao "nonsense".unaonekana vizuri kwa umbali ukiwa unatokea uelekeo wa " intellect" kwa njia ya bahari.
 
mkuu mleta mada,hiyo picha ni ya mji uitwao "nonsense".unaonekana vizuri kwa umbali ukiwa unatokea uelekeo wa " intellect" kwa njia ya bahari.

Mkuu umejaribu lakini haukupatia.

Tiba
 
mkuu hapo ni beigazi LIBYA
nirushie kwa mpesa nilipia ada hiyo hela mkuu wangu
 
jaman nmekurupuka hapo sio cape town ila ni victoria city- ushelshel,haha niwahi hiyo zawad kama kwel unamaanisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom