Zawadi ni zawadi

Kisa kaurembo ndo unataka nawewe upewe V8
Apana aisee acha wakutoe kwa waeenda kwa miguu
Pokea hiyo ndinga Dada acha maringo
 
Hahaha hahaha hahaha gari sizipendi hizi
 
Kichomi sio poa mkuu,kapaso kawenyewe kamepambwa kakarembeka we unakaita kamabox![emoji15] [emoji15] Mungu anakuona teheteheeerr[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Kichomi sio poa mkuu,kapaso kawenyewe kamepambwa kakarembeka we unakaita kamabox![emoji15] [emoji15] Mungu anakuona teheteheeerr[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wabongo kazi kuponda tu wakat hata lita moja ya wese hamuwezi kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…