Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Kwa nini anastahili?Anastahili kwa awamu hii
Myoa mada naona hyo gari huijui gari matata sana
Mfano wewe ulitaka apewe zawadi gani labda?Kwa nini anastahili?
Amewapita bodaboda FCInasemekana eti hii ndo zawadi atayopatiwa mshindi wa mashindano ya urembo kinondoni(miss kinondoni super model)
Zawadi atazopatiwa ni kama inavyoonekana pichani,.gari na kitanda.
Toa maoni yakoView attachment 1153447View attachment 1153448
Nami nimehisi hicho kitu atakuwa ana rate hiyo gari katika level za ISTMyoa mada naona hyo gari huijui gari matata sana