Zawadi miss kinondoni.

Zawadi miss kinondoni.

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,671
Inasemekana eti hii ndo zawadi atayopatiwa mshindi wa mashindano ya urembo kinondoni(miss kinondoni super model)

Zawadi atazopatiwa ni kama inavyoonekana pichani,.gari na kitanda.

Toa maoni yako
IMG_20190714_161554_446.JPG
IMG_20190714_161554_446.JPG
 
................Yah inamtosha,wengine ili kupata vitu kama hivyo inabidi huko chini kutumike sanaa kiasi ukija kupima speed mileage za hiyo ndinga na something yake za ndinga zinasubiri.

Sikumbuki mwaka but kuna mmoja aliwahi pewaga TATA tule tugari twa Kihindi wakati mwanzo aliahidiwa Toyota Vanguard na mapetdeshee wa town miaka ile ya Mh White walikuwa washaloweka mbaya kabisa.
 
Si bora huyu kapewa Mini Cooper ! ,Miss Tanzania sijui mwaka jana alipewa ki Terrios Kid sijui kama nimepatia spelling
 
Mi naona wanafanyaga makusudi hivi hata IST used inayoeleweka wanashindwa kutoa hadi waweje hivi viuchafu.
 
Back
Top Bottom