Hasham007
Member
- Sep 12, 2017
- 13
- 2
Habari zenu : kwa wale wote ambao wapo kwenye ndoa licha ya mambo mengi ambayo yatazidisha mapenzi lakini ZAWADI ni kitu muhimmu
Jizoweshe kumchukulia mkeo Zawadi unaporudi kazini : ukitoka tu Mtumie msg au simu umuulize Leo nikuchukulie kitu Zawadi gani ?? Ikiwa unatabia io basi daima utazidisha mapenzi katika ndoa
Je mambo gani mengine ambayo unafikiria yanaweza kuzidisha mapenzi ndani ya ndoa ??? Karibu mchango wako