Zawadi aliyokupa Mwenyezi Mungu, ajabu unashindwa kuitumia

samahani mkuu,naomba kujua kama ulishawahi kutoka nje ya mwili wako wewe kama wewe..nahitaji kusikia kutoka kwa mtu kuliko kusoma pekee maandishi.

Ahsante.
Hata mimi nilitaka kumuuliza rakims hilo swali, natamani asiishie kusema ndio au hapana bali aelezee zaidi.

Akijibu na mimi unitag!
 
Hata mimi nilitaka kumuuliza rakims hilo swali, natamani asiishie kusema ndio au hapana bali aelezee zaidi.

Akijibu na mimi unitag!
Samahani Mkuu Kama nitakuwa nimekukwaza, pitia thread yake inaitwa, "Kutoka Nje Ya Mwili--Astral projection" ameelezea kwa kina sana.
 
samahani mkuu,naomba kujua kama ulishawahi kutoka nje ya mwili wako wewe kama wewe..nahitaji kusikia kutoka kwa mtu kuliko kusoma pekee maandishi.

Ahsante.
Ndio mkuu nimeshatoka pia nilielezea experience zangu za kutoka nje ya mwili na kunawatu walitaka niwakute walipo niwatoe pia, stupidity thinking
 
Rakims, Wasukuma wanna msemo MASALA KULANGWA, maana Yake akili ni kufundishwa, je mtu anaweza kufundishwa namna ya kutumia akili zake?
Vuta picha kwanza kichwani fikiria kwanza huyo aliyosema huo msemo alikuwa wapi? Kutumia akili mtu hafundishwi ukiona mtu anakufundisha kutumia akili jua anataka kukufunga kutumia akili yako, utumie akili yake

Rakims
 
Nashukuru kwa somo, je kuna namna yoyote binadam anaweza kuongeza uwezo wa kiwango cha akili yake kufikiri?
Ndio mkuu ipo nayo ni kukaa ukiwa peke yako bila kuwa interfered na chochote kisha usikilize fikra yako inakwambia nini ufanye nayo conversation

Rakims
 
Soma sana vitabu, meditation na achana na negative things kama ngono zembe na mambo ya mapenzi yasiyo ya lazima kwani yanacover sehemu kubwa ya uwezo wako wa kufikiri.
Subiri mwenye uzi aje kuongezea.
Asante mkuu wewe ndio umeongezea hapo inatosha

Rakims
 
Asa
Asante ila cha ajabu na kikubwa zaidi ni roho aliyopewa mwanadamu ha mashetani wanaumia kichwa na kuona wivu mkuu kwa kipawa hiki ila wanadamu wengi hatuna habari na hatujui kutumia roho zetu.
Ndio hasara kubwa tuliyonayo mkuu

Rakims
 
Hata mimi nilitaka kumuuliza rakims hilo swali, natamani asiishie kusema ndio au hapana bali aelezee zaidi.

Akijibu na mimi unitag!
Tembelea kwenye thread yangu mkuu nilishaeleza hili
 
Hata mimi nilitaka kumuuliza rakims hilo swali, natamani asiishie kusema ndio au hapana bali aelezee zaidi.

Akijibu na mimi unitag!
Kama kuna mtu anataka kupractice pamoja basi anitafute
 
Back
Top Bottom