Zawadi aliyokupa Mwenyezi Mungu, ajabu unashindwa kuitumia

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
Habari wakuu,
Imagine umeamka asubuhi unafumbua macho unaanza kuona mwanga kisha kitendo bila kuchelewa kuna mashine moja katika mwili wako inafanya kazi kwa speed kubwa sana ambayo kama speed hiyo ingetumika kwenye chochote cha kusafiria basi hakuna ambaye angetoka hai kwa kasi hiyo. Umefumbua tu macho unajua mimi ni nani,mwili unawasha,njaa,nachelewa kazini,huu mlango,hii taa, mswaki wangu upo wapi n.k n.k.
Mwenyezi Mungu akuzidishie uelewa mpana sana ewe ambaye umetambua nazungumzia nini kabla hujamaliza kusoma sentensi yote hii umeshajua nazungumzia UBONGO.

Ubongo:
Kama utendaji wa ubongo ambavyo bado haujawahi kuonekana na macho ya mwanadamu, hakuna mtu ambaye hadi sasa kwa kipindi tulichopo anatambua yote kuhusu ubongo na utendaji wake zaidi ya uelewa wake kidini au kisayansi.

Inasemekana kwamba ubongo wa mtu wa kawaida una seli zaidi ya 300,000,000. Na kila dakika seli 3,000 huharibiwa. Kulingana na Sayansi ikiwa hii ni kweli, basi ubongo mpya hujengeka kila baada ya siku 60.
Ubongo wa kawaida ujazo wake una kiasi cha 58 hadi 105 Cubic inches.
Ubongo wa AngloSaxon na wajrerumani, na kwa mataifa mengine ya umma, wanakuwa na wastani huo.
wakati ubongo unaozingatiwa ni ubongo unaochukua nafasi ya inchi 96 za ujazo, na baadhi ya wengine wa Australia bongo zao zinamiliki ujazo wa inch 58 tu.
Ubongo wa kiume ni karibu asilimia kumi. Mzito au mkubwa kuliko wa mwanamke. Wanyama wenye akili zaidi wana miliki ujazo wa 16.
Hii maana yake ni kuwa ukubwa wa ubongo, haumaanishi kuwa ni wingi wa akili kwa mwenye nao.
Watu wenye ubongo mdogo wanaweza kuwa na uwezo mkubwa wa akili kuliko wengine wenye ubongo mkubwa zaidi.

Ubongo ni moja wapo ya viungo vikubwa na tata zaidi katika mwili wa mwanadamu.

Umeundwa na neva zaidi ya bilioni 100 ambazo zinawasiliana katika trilioni za viunganisho zinazoitwa synapses.

Ubongo umeundwa na maeneo mengi maalum ambayo hufanya kazi pamoja:

• Cortex ni safu ya nje ya seli za ubongo. Harakati za kufikiria na hiari huanza kwenye Cortex(gamba).

• Shina la ubongo liko kati ya uti wa mgongo na ubongo wote.
Kazi za kimsingi kama kupumua na kulala hudhibitiwa hapa.

• Basal Ganglia ni nguzo ya miundo katikati ya ubongo. Hii inaratibu ujumbe kati ya maeneo mengine mengi ya ubongo.

• Cerebellum iko chini na nyuma ya ubongo. Cerebellum inawajibika kwa uratibu na usawa.

Ubongo pia umegawanywa katika sehemu kadhaa:

Sehemu za mbele zinahusika na utatuzi wa shida na uamuzi na utendaji/matendo.

Sehemu ya parietal inasimamia hisia, mwandiko, na misimamo mingine ya mwili.

• Sehemu za temporal zinahusika na kumbukumbu na kusikia.

Sehemu hizi ndio hushughulika na mambo mbalimbali ya utendaji wa ubongo

Ubongo umezungukwa na safu ya tishu inayoitwa meninges.
Fuvu (cranium) husaidia kulinda ubongo kutokana na majeraha.

Kwa sifa hizi chache za ubongo,
Je, ndio pekee inayonifanya nithubutu kukwambia ubongo ni zawadi kubwa zaidi aliyokuruzuku Aliyekuumba?
Hapana

Sifa zinaendelea na moja kati ya sifa za zawadi hii aliyokupa aliyekuumba ni AKILI

AKILI:
Akili ndio zawadi mwenyezi Mungu amekujaalia na hii katika mwili wako inaishi katika ubongo.

Akili inaweza kukufanya ukafanya lolote lisilowezekana likawezekana.

Na uwezo wa mtu ni akili yake kama unataka jambo linakutesa na huwezi kulifanikisha maana yake wewe huna akili.

Akili ipo kwenye ubongo na akili Quran inaitaja mara 7 na sote tunajua kuwa namba 7 thamani yake ipo vipi sijui kuhusu bible inazungumzia mara ngapi akili lakini kila kitu kuhusu dunia ni "akili" na akili sio haya niliyoandika hapa juu ya kusoma kwenye vitabu au shule akili kila mtu anayo isipokuwa tunatofautiana katika kuitumia. Kuna watu wanaishi maisha ya kila siku lakini akili zao zimelala fofofo wanafuata system tu hawajui jinsi ya kuaccess akili zao
Top bilionea katika dunia hii hawana shehena ya hazina za kutisha isipokuwa akili tu.

Mifano kadhaa:

Bill gate = software
Mark Zukerberg = Facebook
Founder wa Google
Mifano yote hii na wanaoendelea they all operate and success by Akili(UBONGO)

NB: akili ni mali,mtaji,muongozo na kila kitu.
Somo linaendelea kwenye Quotes chini:

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Shukran Mkuu, nimeipenda hii, endelea kutupa somo
 
Nashukuru kwa somo, je kuna namna yoyote binadam anaweza kuongeza uwezo wa kiwango cha akili yake kufikiri?
 
Asa

Asante ila cha ajabu na kikubwa zaidi ni roho aliyopewa mwanadamu ha mashetani wanaumia kichwa na kuona wivu mkuu kwa kipawa hiki ila wanadamu wengi hatuna habari na hatujui kutumia roho zetu.
 
Nzuri hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom