Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,286
Kinachowauma ni wale watoto,huku don huku dai na nyumba zipo mali zipo na bado anadaka madili mbali mbali wacha wachanganyikiwe
watatoka hadi jasho la meno.
Zari ni zaidi ya mwanamke. Wanavyozidi kumchukia wanazidi kujiumiza tu maana analolifanya kesho yake ni kubwa zaidi ya alilofanya jana.


