Yan ichi kikongwe kabisa we ndo unamuona mzur wkt anambemenda kijana mwenzetu wa tz
Tatizo unaangalia picha zake yani zmepigwa pic100 af inachukuliwa1 lzma umuone mzur
Bongo kna watt wazur zaid yake ye nwenyewe anajua ndo maana anajistukia
M ni mwqnaume so sfanani na zari
Simchukii cs haniusu lkn ni mon'go kama ma mon'go wengine tuu
Ila huu n mtazamo wangu tuu[emoji116] [emoji116]
Haahaahaa, eti nyaku wasubiri, huyu bibie ingekuwa family anaiweza ndoa ingemshinda?! Hawezi ku handle mume anategemea uzuri wake, anajidanganya tu aende akafundwe ili ajue mume anahitaji nini, wala hata kuwa na hisia kuwa kuna nyaku anaweza kunyakua kitu yake., achilia mbali kuamini kuwa itafika nyaku time aachwe mwenyewe na watoto