Zari ana mkosi na wanaume: Muda ukifika ataachana na muuza karanga kama ilivyotokea kwa Ivan

Sidhani kama mkosi kumbuka history ya zari kwenye mitandao ni chafu sana utaishi vipi na mwanamke k yake iko mitandaoni unategemea heshima ipi itakuwepo kwa mwanamme anaejitambua sidhani kama ataishi na yule dada bado na dharau juu
 
Nchi yetu haiji endelea...kwanini watu mnapenda kuombeana kufail...kwanini watanzania hawapendi maendeleo ya watu...kwanini watanzania hatutoki kwene kundi la upumbavu kama asemavyo mkapa...!!! Naisi ikijatokea huyu jamaa kafirisika na kawa ombaomba ndio itakuwa raha ya watanzania...mi naisi hii sio roho ya wanadam wenye hofu ya mungu ni roho zenye pepo...inabidi watanzania tuombewe kwakweli....!!! Tuacheni roho za ushetani zilizojaa mapepo...tukasali ili tuwe na hofu ya mungu....twapaswa kujifunza kutokana na maendeleo ya watu ili na sisi tufanye kitu ....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna kitu gani katika ubongo wa baadhi ya binadamu kinachofanya kila siku waamke na kuanzisha thread kufuatilia habari za celebrity fulani na kumchimba?

Mbona wengine hatuna shobo hizo?

Nataka kujua kama kuna kemikali fulani katika ubongo zinazowapa watu fulani mshawasha huu na kama zipo au hazipo, kuwa nazo au kuzikosa kunaweza kuwa na maana gani kwa mtu?

Je, kama zipo, halafu mtu huna (na ndiyo maana hushobokei habari za celebrities sana) hilo lina maana una upungufu fulani katika mahusiano ya kibinadamu? Au hao watu wenye kemikali hizo ndiyo wenye imbalance inayowafanya wawe kama mateja wa habari za Zari, Diamond, Rihanna etc?

There should be a Ph.D paper on this, if one isn't out there already.

I am sure the BBC has a documentary or sonething somewhere.

Sent from my Kimulimuli
 
Sidhani kama mkosi kumbuka history ya zari kwenye mitandao ni chafu sana utaishi vipi ma mwanamke k yake iko mitandaoni unategemea heshima ipi itakuwepo kwa mwanamme anaejitambua sidhani kama ataishi na yule dada bado na dharau juu
Mm najuliza tu hawa watoto wakikua afu wakute hilo tukio la mama yao sijui watajisikiaje.......jitu zima linajisugua na midildo kwa papuch huku linajirekodi yaani ata domo ana roho ngm kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna kitu gani katika ubongo wa baadhi ya binadamu kunachofanya kila siku waamke na kuanzisha thread kufuatilia habari za celebrity fulani na kumchimba?

Mbona wengine hatuna shobo hizo?

Nataka kujua kama kuna kemikali fulani katika ubongo zinazowapa watu fulani mshawasha huu na kama zipo au hazipo, kuwa nazo au kuzikosa kunaweza kuwa na maana gani kwa mtu?

Je, kama zipo, halafu mtu huna (na ndiyo maana hushobokei habari za celebrities sana) hilo lina maana una upungufu fulani katika mahusiano ya kibinadamu? Au hao watu wenye kemikali hizo ndiyo wenye imbalance inayowafanya wawe kama mateja wa habari za Zari, Diamond, Rihanna etc?

There should be a Ph.D paper on this, if one isn't out there already.

I am sure the BBC has a documentary or sonething somewhere.

Sent from my Kimulimuli
Umekosea jukwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
Kuongea rahisi sana.
80% ya wanawake wanaovumilia manyanyaso ya wanaume kwa kigezo cha hakuna ndoa isiyo na shida ni maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ilikuwa kiki ya kutoa nyimbo zake tatu... katafuta attention maana ili zipokelewe aliitaji watu wawe macho kwake nyimbo kaimba nini? ame mchana zari au niaje? na watu wakajaaa....

baada ya hapo ana post yupo na mke wake wana... watu wanafunga midomo mna lala....

wanasemaga wapenda nao hawa achani wana gombana tu.... ndo usemi wa watu wa pwani...! ile ni kiki na kaitumia kutoa track 3 kwa pamoja.... kazi kwenu sasa...

mapenzi ya watu tuwaachie wenyewe na mapenzi yao ya ghafla... wakimwagana... wakiokotana... ni yakwao...
 
Zari ni mkosi kweli ulichezea bahati wakati ukiitwa mke wa ivani. Leo wataka uitwe mke wa diamond wakati mmeo alikufa ukashindwa hata kudondosha chozi.

Sasa bwana wa mbadala anatoa huduma waona wivu? Kwani mmeo??

Huna haya eti hutaki mtoto wa hamis afananishe na tiffa kwani tiffa anakojoa soda?? Tulia na wewe ni mpita njia. Diamond anatoa huduma kwa wote
 
Katika maisha ukijishusha Mungu anakupandisha.
 
Ni suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Wewe umeshaachana na wangapi toka ulivyojua kugegeda au kugegedwa?:D:D:D
 
mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
Wewe ushawahi pata mwanaume. Unadhani furaha ni kuwa na pesa tu? Yaani hapo unatamani mwanaume kama IVAN sababu tu ya umaskini wako kwa kudhani utakuwa na raha uko ndani..Mahusiano magumu sana hayapo marahisi kama unavyoongea..Mnaweza mkapendana lakini mwishoni mkaja mkachukiana kama si wale waliokuwa wapendanao.. Kuta zinaficha mengi.. Kuna watu ndoa zinawatesa ila nyie mlioko nje huku mnadhani wana raha. Siku zote kizuri ni kile cha mwenzio. Mentality ya kudhani mwenzio anafaidi. Kaingie uone ndo utajua kama kuna kufaidi ama la
 
20905006_344230089367410_817651968024510464_n.jpg
 
Katika maisha ukijishusha Mungu anakupandisha.
Huyu mchezea dildo hana jipya!
Wewe ushawahi pata mwanaume. Unadhani furaha ni kuwa na pesa tu? Yaani hapo unatamani mwanaume kama IVAN sababu tu ya umaskini wako kwa kudhani utakuwa na raha uko ndani..Mahusiano magumu sana hayapo marahisi kama unavyoongea..Mnaweza mkapendana lakini mwishoni mkaja mkachukiana kama si wale waliokuwa wapendanao.. Kuta zinaficha mengi.. Kuna watu ndoa zinawatesa ila nyie mlioko nje huku mnadhani wana raha. Siku zote kizuri ni kile cha mwenzio. Mentality ya kudhani mwenzio anafaidi. Kaingie uone ndo utajua kama kuna kufaidi ama la
Its not Clear what led to their separation but one guy has the answers. This is what he said.

What led to the separation of this couple that lived together for 11 years and rose from grass to grace?It all started when Ivan started promoting Zaris music career , while she was not famous in Uganda , in 2009 when Facebook hype had picked up in Uganda , zari became a household name . By then Judith heard was the leading socialite , then beef started between zari and Judith Heard , fans were divided between team Judith Heard and team zari and both fought about who owned more money. Zari told Judith she relies on old bazungu to get money , team Judith heard retailiated by telling zari she dates a fat and local sangoma who can’t speak English, this hurt zari so much and it started leading to a strain in their relationship, zari wanted Ivan to be perfect so as to clap back to her haters , Ivan just wanted to continue being himself , tension started arising in the relationship as zari rose fast to fame and now had cameras allover her , after her successful white party in 2010 , she was now the talk of the town with Ivan but deep inside she wasn’t happy with his image since haters always mocked her that she had afat sangoma who can’t speak English , zari became fraustrated which led to her cheating with a South African guy , rumors is that Ivan caught her red handed and out of anger slapped her . This caused more tension and the relationship grew apart , Ivan started trying to loose weight to maintain zari but she started looking for someone , she got lugudde , and taunted Ivan that she has aman with asix pack , she posted shirtless pictures of lugudde to show off his muscles to Ivan . Ivan was depressed and even tried to go for atuummy tuck surgery. Zari dumped lugudde and went on to date farouq ssempala, she knew ssempala had no money but she used his body and muscles to mock Ivan . Ivan become more depressed because he could not change his body neither could he speak American English like lugudde or farouq ssempala. Zari made sure that all her new men had Better bodies , something which she lacked in her marriage with Ivan . After a leaked s£x tape of Zari with a west African man , farouq left Zari and she went on to hook up the talented young Tanzania artist Diamond who had the good body and was presentable , this was acomplete package for the Zari social media image . The rest is history , in the meanwhile Ivan continued to love her and was so close to her siblings like ting dis . Ivan told friends that zari left him because she wanted someone with a better body . , she wasn’t proud to be with him or show him off like her man by posting about him,in other words , the beef that started with Judith heard fans mocking Ivan is what led to the collapse of the 11 year relationship, what hurt Ivan most is when Zari would display the chests and muscles of her new men , lugudde, farouq and diamond just to taunt Ivan . He felt so small like aman . And resorted to drinking and stress which finally gave him pressure and stroke that killed him . In conclusion, it’s social media , seeking fame and validation that led to the downfall of this couple. Ivan could never get the six pack and speak proper English, yet that was the image Zari wanted for her brand , that is what depressed him most . She always praised Ivan because deep inside she knew he was agood man and even the brother of Zari never left Ivan’s side.ivan slapped her because of cheating but the public never forgave him.and what hurts Ivan’s family and friends is that she used to excuse of the slap but the truth is she just wanted to replace Ivan with aguy with a better image for showbiz that’s why she cheated on him yet he was the father of her kids and they hustled together to get wealth.Rip Ivan may God forgive your sins .
 
Back
Top Bottom