M mgweno tajiri Senior Member Joined Mar 8, 2014 Posts 167 Reaction score 29 Nov 11, 2018 #1 Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000
Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Nov 11, 2018 #2 mgweno tajiri said: Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000 Click to expand... Subiri mpaka kila mtu aweke hela yake mfukoni maana waswahili walisemaga "mgema ukimsifia.........."
mgweno tajiri said: Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000 Click to expand... Subiri mpaka kila mtu aweke hela yake mfukoni maana waswahili walisemaga "mgema ukimsifia.........."
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,352 Reaction score 22,958 Nov 11, 2018 #3 Sisi wa mahindi na kahawa lini tunasaidiwa. Sumbawanga gunia 20,000/= la mahindi.
M mgweno tajiri Senior Member Joined Mar 8, 2014 Posts 167 Reaction score 29 Nov 11, 2018 Thread starter #4 Tupongeze hatua za serkali ndugu ebu angalia nchi ya vcost mpaka sasa wanakorosho maghalan kwao bt serikali yetu inajitahid kuhakikisha zao hili halishuki kama kusudio la watu wachache wanavyotaka
Tupongeze hatua za serkali ndugu ebu angalia nchi ya vcost mpaka sasa wanakorosho maghalan kwao bt serikali yetu inajitahid kuhakikisha zao hili halishuki kama kusudio la watu wachache wanavyotaka