Zao la korosho

Zao la korosho

mgweno tajiri

Senior Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
167
Reaction score
29
Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000
 
Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000
Subiri mpaka kila mtu aweke hela yake mfukoni maana waswahili walisemaga "mgema ukimsifia.........."
 
Sisi wa mahindi na kahawa lini tunasaidiwa. Sumbawanga gunia 20,000/= la mahindi.
 
Tupongeze hatua za serkali ndugu ebu angalia nchi ya vcost mpaka sasa wanakorosho maghalan kwao bt serikali yetu inajitahid kuhakikisha zao hili halishuki kama kusudio la watu wachache wanavyotaka
 
Back
Top Bottom