Msimu huwa ni mwezi wa 6 mpaka wa 9 bei huwa inapanda na kushuka kulingana na Soko ushuru ni ule wa Selikari kwenye mageti ya kilimo tu karibu Matombo, mkuyuni hakuna wakulima wa karafuu Karafuu inalimwa vijiji vifuatavyo; Mlono, Konde, Tawa, Kifindike, Kitungwa, Kibongwa ambavyo vyote hivi lango lake ni Matombo