Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Abeid Amani Karume International Airport in Zanzibar has been Certified with the lowest 2-Star COVID-19 Airport Safety Rating for failing to properly apply international COVID-19 safety protocols.

The Skytrax COVID-19 Airport Safety Rating is the world’s only assessment and certification of airport health and safety measures during the coronavirus pandemic that is based on professional and scientific investigation of the actual standards being provided at the airport.

The audit of Abeid Amani Karume International Airport was conducted in January 2021, based on a combination of procedural efficiency checks, visual observation analysis and cleanliness checks using ATP tests, with the consistency of standards being a key determinant in the final rating.

Edward Plaisted of Skytrax said: “We are shocked by the poor health and safety standards at Abeid Amani Karume International Airport, which appear to reflect Tanzania’s denial of COVID-19. Just yesterday, new cases of the South African virus variant were confirmed in two travellers flying into Denmark on 19th January from Tanzania (Denmark Statens Serum Institut).

Skytrax COVID-19 Safety Audit was carried out 3 days later, which confirmed a complete lack of COVID-19 measures. Our audit teams have conducted COVID-19 audits at airports in many parts of the world during the last 8 months, and this airport is worse than we could have ever imagined for its complete lack of COVID-19 safety protocols.

We highlight to any travellers considering to visit Zanzibar that in the current global pandemic this is a potentially dangerous airport to travel through.”

The COVID-19 Airport Safety Rating includes cleaning and disinfection procedures, social distancing policies and control, face mask usage, sanitiser availability, standard and use of PPE by staff in the airport, and other hygiene applications being used.

 
Acheni mzaha COVID-19 inaondosha watu kama kuku, Allah alete kheri zake inshhallah. Lakini ni vyema tukaenda ubishi pembeni na kufuata protocols.
 
Acheni mzaha COVID-19 inaondosha watu kama kuku, Allah alete kheri zake inshhallah. Lakini ni vyema tukaenda ubishi pembeni na kufuata protocols.
Nyie ndio mliyokuwa mnaamini kuwa corona imepungua na mkawa mnaenda kujazana kwenye mikutano ya kampeni bila tahadhari zozote halafu sasa hivi mnakuja na habari za watu kufa kama kuku,mngayajua hayo msingefanya huu ujinga.View attachment 1686610
images%20(3).jpg
 
Halafuuu... Ni kama kuna wimbi la watu wengi Sana sasa wakiwa na mafua... Hii ndio nini aisee?
 
Nyie ndio mliyokuwa mnaamini kuwa corona imepungua na mkawa mnaenda kujazana kwenye mikutano ya kampeni bila tahadhari zozote halafu sasa hivi mnakuja na habari za watu kufa kama kuku,mngayajua hayo msingefanya huu ujinga.View attachment 1686610View attachment 1686611
Acha ujinga na wewe!! Tokea Kampeni Hadi leo, kama ingelikuwepo kipindi hicho, tungelikuwa wapi??

Wimbi la pili la maambukizi huwenda sasa ndio matokeo na hofu iliyoko mitaani
 
Hawa watu wajinga sana, kisa wameona Warusi wamekuja kwa Wingi Zanzibar, na hawajui walianza kuwapa chanjo watu wao tangu Mwaka jana,
 
Acha ujinga na wewe!! Tokea Kampeni Hadi leo, kama ingelikuwepo kipindi hicho, tungelikuwa wapi??

Wimbi la pili la maambukizi huwenda sasa ndio matokeo na hofu iliyoko mitaani
Mkuu Tanzania toka mwanzo hatuzingatii hizo tahadhari za kujikinga na corona tofauti na majirani zetu,lakini pamoja na hilo hatukuona hata hospitali kuzidiwa wagonjwa, hatukuwa na tofauti na hao majirani zetu waliyokuwa wanachukua tahadhari.

Sasa wewe ulitaka uone tunaokota maiti barabarani ndio ukubali kuwa tulichokifanya kwenye kampeni mwaka jana kimelata madhara? Hata kama mliamini corona imepungua ndio ilikuwa sahihi kwenda kukusanyana vile bila tahadhari? kweli mlikuwa mnaamini imepungua au haipo kabisa?

Cha ajabu zaidi tunasema imepungua huku tukiwa hatupimi na kutoa takwimu za hiyo corona,wakati huo huo wengine walikuwa bado wanasema kabisa hakuna corona.
 
Back
Top Bottom