"huwezi kabisa kulinganisha muungano wa USA au EU na huu wetu hapa. nakukubalia kwa vile hujawahi hatakuja huku, unaongozwa sanana hisia zako, mimi ninayeandika hapa ni muunguja 100%, na ni muumuni wa muungano wa "mkataba" ama na tuuvunje kabisa tukae kama majirani wema, ama ni baya hile, maana wenzetu mnaona kudai haki yetu imekuwa kama nongwa ..... tuna kila sababu na ni haki yetu"Msiijtinge msijitenge msijitenge nasema msijitenge.
1. Umoja ni nguvu utengano ni dhaifu, hizi dosari ni za kukaa na viongozi na kuelekezana wapi parekebishwe sio kujitenga,
2. Dhambi ya ataetaka jitenga itamuandama siku zote alisema mwalimu.
3. scientifically proved kina cha maji kinazidi panda bcoz of kupanda kwa joto inosababisha melting ya mabarafu, zanzibar is amongst visiwa vyenye tishioa la kumezwa na maji, watu washapima pembezoni mwa fukwe zenu, zenji inazama mdo mdo, kama una bisha google, where will thy grandsons & daughters shelter themselves, hao wageni wanowahimiza mjitenge wana pa kukimbilia, nyinyi wabantu je?
4. Haya mnajitenga na bara mu watu wamoja now against an enemy tanganyika vidole vyote mnatu point sisi wabara ndo wabaya, mnasahau vitatu vinawapoint nyinyi, nani asiejua pemba na unguja hamuivi chungu kimoja, eti bara iliwagawa ikawatawala, kweli? haya tutaona.
5. Kidole kimoja hakiui chawa, wanowaambia mtakuwa better mkishajitenga wanawadanganya fungueni macho yenu na akili, umeme umeshaletwa, infrastructure inaboreshwa, tourists company zenu zinashirikiana vizuri sana na za kaskazini mkawaulize mambo yalivyo na yanavyozidi kuwa murua upande wao, uvuvi wanashirikiana vizuri sana na dar mtwara tanga hadi kigoma na mambo kibao, katiba hii hapa semeni dukuduku zote sio kujitenga,
siasa siasa siasa inawapoteza wandugu look at de other side of the coin, the future is looking good when we together, matatizo haya tujumuike tuya sought out pamoja, hata uswisi wana matatizo kila mahali kuna matatizo kuyakimbia is not a solution, eti hatuingiliani kiutamaduni that is bloody nonsense, dunia ya sasa inakuwa moja, ts all abt business, wanoungana wana nguvu sana angalia amerika, eu hiyo inakuja, nyie mwataka kimbia? come on fellas.
sijaoa huko sina ndugu wala sijawai kufika. ni mawazo yangu tu na mengine mengi sana ya kusema, mudna a tu hautoshi. Ila zenji honestly think twice mazee,
If u still insist kujitenga, obviously you will, go on wanasemaga mtoto akililia wembe mpatie.
Mkuu yote haya yanasababishwa na muundo huu wa muungano wa serikali mbili. As long as utaendelea muungano wetu utakufa.Msiijtinge msijitenge msijitenge nasema msijitenge.
1. Umoja ni nguvu utengano ni dhaifu, hizi dosari ni za kukaa na viongozi na kuelekezana wapi parekebishwe sio kujitenga,
2. Dhambi ya ataetaka jitenga itamuandama siku zote alisema mwalimu.
3. scientifically proved kina cha maji kinazidi panda bcoz of kupanda kwa joto inosababisha melting ya mabarafu, zanzibar is amongst visiwa vyenye tishioa la kumezwa na maji, watu washapima pembezoni mwa fukwe zenu, zenji inazama mdo mdo, kama una bisha google, where will thy grandsons & daughters shelter themselves, hao wageni wanowahimiza mjitenge wana pa kukimbilia, nyinyi wabantu je?
4. Haya mnajitenga na bara mu watu wamoja now against an enemy tanganyika vidole vyote mnatu point sisi wabara ndo wabaya, mnasahau vitatu vinawapoint nyinyi, nani asiejua pemba na unguja hamuivi chungu kimoja, eti bara iliwagawa ikawatawala, kweli? haya tutaona.
5. Kidole kimoja hakiui chawa, wanowaambia mtakuwa better mkishajitenga wanawadanganya fungueni macho yenu na akili, umeme umeshaletwa, infrastructure inaboreshwa, tourists company zenu zinashirikiana vizuri sana na za kaskazini mkawaulize mambo yalivyo na yanavyozidi kuwa murua upande wao, uvuvi wanashirikiana vizuri sana na dar mtwara tanga hadi kigoma na mambo kibao, katiba hii hapa semeni dukuduku zote sio kujitenga,
siasa siasa siasa inawapoteza wandugu look at de other side of the coin, the future is looking good when we together, matatizo haya tujumuike tuya sought out pamoja, hata uswisi wana matatizo kila mahali kuna matatizo kuyakimbia is not a solution, eti hatuingiliani kiutamaduni that is bloody nonsense, dunia ya sasa inakuwa moja, ts all abt business, wanoungana wana nguvu sana angalia amerika, eu hiyo inakuja, nyie mwataka kimbia? come on fellas.
sijaoa huko sina ndugu wala sijawai kufika. ni mawazo yangu tu na mengine mengi sana ya kusema, muda tu hautoshi. Ila zenji honestly think twice mazee,
If u still insist kujitenga, obviously you will, go on wanasemaga mtoto akililia wembe mpatie.
"huwezi kabisa kulinganisha muungano wa USA au EU na huu wetu hapa. nakukubalia kwa vile hujawahi hatakuja huku, unaongozwa sanana hisia zako, mimi ninayeandika hapa ni muunguja 100%, na ni muumuni wa muungano wa "mkataba" ama na tuuvunje kabisa tukae kama majirani wema, ama ni baya hile, maana wenzetu mnaona kudai haki yetu imekuwa kama nongwa ..... tuna kila sababu na ni haki yetu"
Visiwa vya Zanzibar navizame lakini hatutaki UKOLONI wa Ki-Tanganyika tumechoka kutawaliwa
Ni mawazo yako au ya mwarimu?!2. Dhambi ya ataetaka jitenga itamuandama siku zote alisema mwalimu.
ni mawazo yangu tu na mengine mengi sana ya kusema, muda tu hautoshi.