Mkuu umepandwa mwengine...mikwaju ilikuwa haishi msikitini pale na wakaazi wa jirani walijikuta wakilala na vitu vya ajabu ajabu na ajali barabara ya Magomeni kuelekea Jan'gombe zilikuwa hazishi yaani hushangai Mkuu, gari la n'gombe linapinduwa daladala..."wataalam wa sayansi ya uswahili" wakaja na "teknolojia" kwa njia ya hadhari, wakawaambia watu...kuwa wamebomoa "ghorofa la watu" wenyewe hawana pa kukaa..ndo maana wamehamia majumba ya watu na waliobaki wanatembeza bakora msikitini pale...na ajali hazishi...wakakubaliana "lijengwe ghorofa jingine" na sasa ukipita pale unastawi vizuri tu.Hivi kwanini Mwembenjugu ulikatwa? Je eneo hilo bado lina sifa ya kuendelea kuitwa M'njugu?
Mkuu umepandwa mwengine...mikwaju ilikuwa haishi msikitini pale na wakaazi wa jirani walijikuta wakilala na vitu vya ajabu ajabu na ajali barabara ya Magomeni kuelekea Jan'gombe zilikuwa hazishi yaani hushangai Mkuu, gari la n'gombe linapinduwa daladala..."wataalam wa sayansi ya uswahili" wakaja na "teknolojia" kwa njia ya hadhari, wakawaambia watu...kuwa wamebomoa "ghorofa la watu" wenyewe hawana pa kukaa..ndo maana wamehamia majumba ya watu na waliobaki wanatembeza bakora msikitini pale...na ajali hazishi...wakakubaliana "lijengwe ghorofa jingine" na sasa ukipita pale unastawi vizuri tu.
Sawa na Mfenesi Mazizi (si unakumbuka KULI na Adam Shafi) mtaa ulikuwa haukaliki wanakufa watoto wachanga vikongwe vina "ukaba" kama kawa, "wataalamu" kama wale wa Mw'njugu, wakapendekeza mfenesi mazizi upandwe mwengine...na hali imekuwa shwari sasa...watoto wanakuwa vizuri...vijana wanacheza mpira hapo hapo sasa.
Nimesema umepandwa mwingine ua huelewi kiswahili cha mafumbo Mkuu?Acha uongo wewe! mara ya mwisho ulikwenda lini zbar. Huo mwembe umeshakatwa na hapana hata muarubaini
Mkuu umepandwa mwengine...mikwaju ilikuwa haishi msikitini pale na wakaazi wa jirani walijikuta wakilala na vitu vya ajabu ajabu na ajali barabara ya Magomeni kuelekea Jan'gombe zilikuwa hazishi yaani hushangai Mkuu, gari la n'gombe linapinduwa daladala..."wataalam wa sayansi ya uswahili" wakaja na "teknolojia" kwa njia ya hadhari, wakawaambia watu...kuwa wamebomoa "ghorofa la watu" wenyewe hawana pa kukaa..ndo maana wamehamia majumba ya watu na waliobaki wanatembeza bakora msikitini pale...na ajali hazishi...wakakubaliana "lijengwe ghorofa jingine" na sasa ukipita pale unastawi vizuri tu.
Sawa na Mfenesi Mazizi (si unakumbuka KULI na Adam Shafi) mtaa ulikuwa haukaliki wanakufa watoto wachanga vikongwe vina "ukaba" kama kawa, "wataalamu" kama wale wa Mw'njugu, wakapendekeza mfenesi mazizi upandwe mwengine...na hali imekuwa shwari sasa...watoto wanakuwa vizuri...vijana wanacheza mpira hapo hapo sasa.
Ule Mfenesi wenye mazizi makubwa haupo umekatwa...saivi pamepandwa mwengine palepale ulipokuwa ule wa awali na unastawi vizuri tu...umenikumbusha enzi zangu pale madrasa za Maalim Imam RIP na Maalim Bi.Afua zote zikipakana na Msikiti wa Simba mpaka leo zipo ila msikiti ulibomolewa na kujengwa upya...kuna Mzee(khamis kibatari,RIP) aliyekuwa mwazini mwenye sauti kali akiadhini bila ya bomba sauti yake unaisikia mpaka Mwembeladu na Mbuyutaifa...hata waadhini wa misikiti ya Salum Makka na Kwabiziredi wakimsubiri Kibatari amalize ndo waanze wao...saivi wapi?Hivi waliukata ule mfenesi pale mbele ya Branchi ya (Gulioni )ilikuwa ya ASP kabla haijabadilishwa na ikaitwa branch ya CCM ,mzee wetu Aboud Jumbe alituwekea TVz pale watoto na watu wazima tulikuwa tunakwenda kuangalia hizo zilikuwa siku za nema siku za arba fogo wali pesa mbili na watu zanzibar walikuwa naimani za utu leo wapi visiwa vimeingizwa NAJIS kubwa.
We Balubalu Ni Muembe Rikunda. Kwani wewe ulishawahi kufika Mwembe-Mchomeke? Huko unatakiwa uwe Ngangari kweli! Ukizubaa- basi. Kama utapapatikia lile jambo bila indhari utaishia kama Mwembe unavyosema.mwembe lukunda na hata kule mafichoni Mwembe mchomeke.