Sahihi kabisa mkuuyani huwa wanatucheka sana huku bara, hatujitambui kabisa, manake wao sijasikia wakihama, hata zile tetesi hakuna, wapinzani na watawala wanafanya kazi kisawa sawa na kisiwa kinasonga mbele na kupiga hatua na wafadhili wanamimina misaada tu
Mkuu sijalinganisha nimeuliza kwanini huko hatusikii hayo ya kujiuzulu kuunga mkono juhudi za rais? Soma thread yangu vizuri.Zanzibar! Wewe Msholo, upepo wa siasa za visiwani unaulinganishaje na bara?
Upinzani Znz ni Cuf vs Cuf, baada ya Cuf Znz na bara kugawika.
Sasa kilichopo ni mnyukano wa ndani kati ya Cuf Lipumba na Cuf Maalimu na ndiyo habari ya mjini.
wakati huo Ccm inastarehe imepumzika.
Hahaah sawa kwahiyo dirisha likifunguliwa tutegemee hayo pia?Kule dirisha la usajiri bado halija funguliwa, siunajua mzamin wa kule ndo wa huku pia, wacha amalize kwanza huku, japo ligi ya kule marefa ndo wafungaji!
Rais wao bado hajanunua ndege bado yuko kwenye mchakato wa kuagiza mchanga wa kujengea.Kwema wakuu,mbona kule Zanzibar hatusikii wakijiuzulu kuunga mkono juhudi za rais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule sio Tanganyika...Kwema wakuu,mbona kule Zanzibar hatusikii wakijiuzulu kuunga mkono juhudi za rais?
Sent using Jamii Forums mobile app