Zanzibar yaongeza mishahara kwa asilimia 100

Shain anatafuta kuungwa mkono na wafanyakazi, pia amelenga kiinua kiwango chao cha maisha. Watakuwa vizuri kwani hata sasa bei ya bidhaa hasa za kutoka nje ni nafuu kuliko Bara. Watakuwa vizuri kwa kweli.
 
Back
Top Bottom