Zanzibar yafaulu katika kutokomeza malaria

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Wakati ulimwengu umejiwekea shabaha ya kutokomeza Malaria kwa asilimia 90 ifikapo mwaka 2030, Visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania inawezekana vikafikia lengo hilo mapema sana kabla ya mwaka huo.

Miaka michache tu iliyopita Zanzibar ilikuwa na asilimia 40 ya ugonjwa huo, lakini leo hii Malaria Zanzibar ipo kwa asilimia 0.03 tu!

Swali ni kwamba, Visiwa hivi vimefanikiwaje kufikia hatua hiyo?

Je, Tanzania Bara tufanye nini ili kufikia walau NUSU ya hatua hiyo?

Chanzo: BBC Swahili.
 
Back
Top Bottom