LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 533
hawataki muungano nukta! serikali ikiendelea kufumbia macho kwa kuenzi fikra za nyerere... yatatokea makubwa zaidi ya yaliotokea wiki iliyopita ....
muungano unajadilika sijui tatizo nini..?
Kabisa lina uhusiano gani na Muungano?
hawataki muungano nukta! serikali ikiendelea kufumbia macho kwa kuenzi fikra za nyerere... yatatokea makubwa zaidi ya yaliotokea wiki iliyopita ....
muungano unajadilika sijui tatizo nini..?
nadhani ulimaanisha kanisa..?! yeh halina uhusiano...! mtoa mada ameuliza zanzbar wanahitaji nini? hakuuliza kanisa lina uhusiano gani na muungano.. nadhani ipo thread inayozungumzia kanisa na zanzbar .. tukutane kule... una swali jingine...?
Kweli nilimaanisha Kanisa, na hapa tatizo si Muungano, otherwise tungeona angalau taasisi/ofisi za Muungano kuchomwa moto! Pia tungeona misikiti ya watu wa Bara kuchomwa moto! Sasa Kanisa lina uhusiano gani na huu Muungano? Mbona inaonekana kuwa Misikiti haina uhusiano na Muungano ila ni Makanisa tu?