zanzibar saivi haindeshwi kwa katiba na sheria

sservcom

Member
Feb 17, 2016
11
2
Kama tunavyo jua kama uchafuzi wa marudio ni wiki ijayo.
Karatasi za kupigia kura tayari zimesha wasili.
Ila kwenye karatasi hizo kuna badhii ya kasoro zimejitokeza, kwa hiyo sijui tuseme ni ndogo ndogo au kubwa.
Kwani kuna baadhi ya wagombea majina yao yamekosewa kuandikwa na chama kimoja badala ya kuwekwa nembo yake kumewekwa nembo ya chama cha mpira ya timu moja maarufu uengerza.
Suali langu naomba munisaidie je kutakuwa na marekebisho au ndo tutaendeshwa na busara na hekma tu kama alivyo sema polepole kama suala la zanzibar saivi linataka hekma na busara tu sio katiba na sheria.
 
Polepole ni mzalendo anayejitahidi kuhakikisha haki ya tumbo lake inapatikana. sio wengine mnakosa uzalendo hata kwa ngazi hiyo!......Tanzania inahitaji watu kama hawa... hutaki acha. uchaguzi wamarudio hauwahusu hao waliokosewa majina/nembo. kwenye nafasi zao kidogo ziwekwe picha za ngisi na kasa lakini Pengine shabiki wa Timu ya uingereza akataka kupaisha flag yake
 
Back
Top Bottom