Zanzibar: Rais Mwinyi ateua DPP mpya

Wonders shall never end. Only in the United Republic of Tanzania.
 
Uwe unaandika headline vizur nilijua jecha salum jecha aka chebukati wa kizazi kile....sema ndo walewale siunajua wapo kwenye system kizaz mpka kizaz
 
Daah! Jecha?? Of all the people?

Nchi inaliws na wenye nchi
 
Rais wa Zanzibar , Dr Hussein Mwinyi amemteua Mgeni Jalan Jecha kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Bado haijafahamika Uhusiano wa Jecha huyu na yule aliyeharibu uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 .
Hakuna undugu wowote, ni majina tuu ya ubini kufanana, kama Yuda Eskariote na Yuda Tadei.

Majina ya Wanzanzibari wengi hutumia majina matatu, jina la mtoto, katikati la baba, mwisho la Babu tena mengi ni repetetive and revolving names, Abedi Amani Karume, Amani Abedi Karume, Jecha Salim Jecha, mtoto wake atakuwa ni Salim Jecha Salim. Hivyo kwenye nasaba lazima majina wawili yafanane.

P
 
Miaka mitano ikiisha, Kila mkazi wa Zanzibar atakuwa kapata uteuzi, nchi Ina watu wasiozidi milioni, lakini Kila siku kina mtu anateuliwa, huyu anafukuzwa
 
Rais wa Zanzibar , Dr Hussein Mwinyi amemteua Mgeni Jalan Jecha kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Bado haijafahamika Uhusiano wa Jecha huyu na yule aliyeharibu uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 .
Kaka yake huyu hapa mzee wa matokeo chanya ya uchaguz

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…