Zanzibar plagued by growing heroin addiction | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar plagued by growing heroin addiction

Discussion in 'International Forum' started by Nyakipambo, Oct 1, 2012.

 1. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Residents say it is relatively easy to smuggle the drug on and off the East African island.

  There are an estimated 9,000 heroin addicts on the small East African island of Zanzibar - one of the highest rates of usage in the world.

  Zanzibar’s container port is along several key shipping routes that ferry the drug from Asia to big markets in the US and Europe. And residents say it is relatively easy to smuggle heroin on and off the island.


  Although the drug is illegal in Zanzibar, it is almost impossible for the authorities to know what goods are coming or going.
  Al Jazeera's Malcolm Webb reports from Stonetown.

  Zanzibar plagued by growing heroin addiction - Africa - Al Jazeera English
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hii si story nzuri sana ila ina ukweli mwingi ndani yake. Na nchi yoyote itakayojaribu kujenga himaya yake kwa biashara ya mihadarati lazima itaanguka anguko la aibu,.
   
 3. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sijaona SMZ wakishika Hatua thabiti ...inside job ? Ama Vizazi vinaharibikiwa

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 4. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wacha wala unga wajitenge ili waendeleze kula unga kwa kasi
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nasikia hayo madawa yanaingizwa na Majahanzi kutoka Afghanistan. Inasikitisha kuona Vyombo vya Usalama hawachukui hatua yoyote ya kupambana na huu ujinga. Serikali ipo busy na Chadema huku vijana wakiteketea na haya madawa. Na wauzaji wengi wa haya madawa ndio wanaomiliki magari makubwa ( Matrack) ya mizigo na wanayatumia kusafirisha madawa yao nchi za jirani.
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  duh biashara ya wazee wa cuf/ccm hiyo
   
Loading...