Zanzibar Nungwi kimewaka

Mtu muongo utamjua tu,
Kila anachokiandika inasemekana inasemekana bila kutaja chanzo cha habari
Unafikiri humu ni facebook
Taarifa umezipata kutoka chanzo kipi cha habari ebu toa maelezo acha kuleta ugolo humu..
Chanzo ni ndugu zangu waliopo huko
 
Aisee, hatari Sana hii, siku zote mchezo Kama haukuchezwa vizuri lazima madhara yaonekane, uchaguzi baada ya kua ni furaha unakua karaha
 
chanzo ni ndugu zangu waliopo huko
Nyie ndio mnaotusababishia TCRA Kutupiga Ban
Tanzania nzima kwa kuhofia kuna watu ukimbilia kutoa taarifa za kubumba
Kisha mnatengeneza taharuki katika jamii kwa habari za uwongo uwongo tu,,
 
Nyie ndio mnaotusababishia TCRA Kutupiga Ban
Tanzania nzima kwa kuhofia kuna watu ukimbilia kutoa taarifa za kubumba
Kisha mnatengeneza taharuki katika jami
i kwa habari za uwongo uwongo tu,,
Mkuu habari ni ya kweli.
 
Adhana imelia saa 11:06!!! Shekh huo mtihani shekh wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…