Invinsible
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 314
- 382
Ni lazima tuseme sasa inatosha au tukubali kuendelea kukandamizwa na huyu diktekta uchwara. Najua amefanya maovu mengi na itakuwa ngumu sana kumtoa ila hapa inabidi wananchi kwa umoja wetu tuungane.Hakuna kuomba wala nini. Ni wakati wa kuitaka haki kwa nguvu
Unajua niko wapi? Acha kunitwisha mawazo yako yaliyojaa ujingaSasa mkuu hii comment haina msaada sana ni vizuri ungetoka nje ukasema kwa vitendo. Sio uwajaze upepo wenzio ww ubaki salama na familia....
Kwa hiyo ilipopigwa adhana ndio kikanuka, weka nyama , taarifa hizi huleta taharuki bila sababuZanzibar maeneo ya Nungwi inasemekana hali imekua sio nzuri, kumechafuka yaani risasi na mabomu yanarindima, hii ishu ilianza baada ya adhana kulia saa 11:06 ambayo sio muda maalumu wa adhana, tuombee ndugu zetu waliopo huko Nungwi
===
Raia wamedaiwa kuzuiwa kupiga kura hali inayozua taharuki ya kupelekea ghasia zinazoendelea katika mji huo
Hakuna kuomba wala nini. Ni wakati wa kuitaka haki kwa nguvu