Wazungu wanatembea na vikaptura vifupi hamna shida, shida ipo kama atafanya Mtanganyika.Ukipika ndani sidhani kama kuna bughudha utaipata kutoka kwao, isipokuwa kula au kunywa hadharani ndio kwao shida pia migahawa ya kuhudumia waswahili hufungwa ajabu ni kwamba watu weupe hunywa maji hadharani na migahawa ya kitalii ipo wazi na hawawafanyi kitu, Wazanzibari wengi wao naweza kusema ni unafiki tu umewakaa na wana ubaguzi sana hawa watu, mwanamke mweusi akitembea bila kufunika nywele atapigwa au pona pona yake ni kuzomewa lakini mzungu au mhindi hawawafinyi hivyo.
Wanafiki sana, wabaguzi na chuki zimewajaa.
Jibu swali: Zanzibar ni non secular state?Kule ulaya wanaruhusu kujenga misikiti lakini hawaruhusu kuadhiniwa kwenye bomba. Ukiwa mgeni maisha yote waheshimu wenyeji, ukienda China hawaruhusu mgeni kufanya kazi nchini kwao. Lakini wao wapo Afrika na hapa Tanzania wanauza mahindi na wana maduka pale kariakoo. Serikali ya China hairuhusu mgeni kufanya kazi lakini ya Tanzania inaruhusu wafanye kazi. Narejea tena heshimu sheria ukiwa ugenini popote uendapo.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Nenda kwa Gwajima viuno churchHivi kuna mwezi mtukufu na usio? Siku tukufu na isiyo?ila wakoloni walituweza aisee
Anayehukumu kwa kula mchana,ni mzinzi hatari,anayehukumu walevi ni mwizi halaa,anayehubiri haki amani na upendo ni msengenyaji wa kutupwa. Nini kujivika viatu vya Mungu?Mbona neno liko wazi tu 'usihukumu usije ukahukumiwa'
Kasome katiba yao inasemaje.Jibu swali: Zanzibar ni non secular state?
Zanzibar sio Tanzania?
Kati ya mgeni aliyetokea Ufaransa na aliyetokea Dar es salaam yupi mgeni hapo?
Au hujaona wazungu wakinywa maji hadharani na kuogelea ufukweni na vichupi?
Kwanini umforce mtu aishi utakavyo?
Nyerere alikosea sana kuwaacha hawa watu kuwa mabaki ya sultan ange ruhusu wa bara kuingia visiwani na kujitwalia vigori leo tusingeiyona Zanzibar ya uarabu koko na ya kibaguzi.Habari !
Kwa waliowahi kufika au kuishi Zanzibar kipindi cha mwezi wa Ramadhani, almaarufu kama mwezi mtukufu wamewahi kuona sheria kali zilizotungwa na mamlaka ndogo Ila zina nguvu kubwa kwakuwa wasimamizi wakuu si polisi tena bali ni wananchi na polisi husaidia tu panapohitajika msaada.
Sheria ya namna ya kula chakula au vinywaji wakati wa Ramadhani huko Zanzibar zinakera na kunyima Uhuru wa watu wengine.
Inafika wakati hata kwako ili upike itakubidi ufunge milango na uhakikishe haukaangi maana vyakula vikinukia tu wananchi hao wamekuvamia.
Je, Zanzibar si Tanzania ?
Zanzibar ni non secular ?
Jaribu kujenga hoja na kukosoa kistaarabu hakika mtume wetu hajawakosoa manasara wala wayahudi kwa kejeli.Kile kinachoitwa Muungano ni njia tuu yakuingia Mamlaka halali za Nchi yetu hv sasa nyinyi Mlooko DODOMA ndio mnaouamulia wazanzibar kila kitu Roho mbaya zimewatawala chuki ubinafsi MITANGANYIKA ndio chanzo cha vurugu zote za Zanzibar
Mnaingilia chaguzi zetu mnaleta jeshi lenu la kikoloni kupindua maamuzi hali ya Wazanzibar mumejaza majitu yenu kila sekta kila nyanja
HEBU JARIBU KUFIKIRIA KAMA NYINYI MNGEVAA VIATU VYETU MNGEWEZA KULISTAHAMILI HILI HATA MWAKA MMOJA?
Mnatuambia Muungano wa mfano wakuigwa Tukikwambieni tuonesheni Nchi moja tuu iloiga Muungano huu hamna jibu