Kwa kweli mm sielewi kabisa wazenji wanamaana gani wanavyodai Muungano wa Mkataba..... Pls anayefahamu vizuri anieleweshe kwa sababu ninavyoelewa mimi hata huu Muungano wa Serikali mbili uliopo ni Mkataba... Serikali tatu pia ni Mkataba, sasa wao Muungano wa Mkataba ndo ukoje...?? Inawezekana tumepanda bus mmoja lakini wengine hatuelewi tuneelekea wapi???