Zanzibar minister was his own private decision | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar minister was his own private decision

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 13, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mtu anatoa fatwa ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ,halafu Malima anasema ni maneno yake binafsi ,Waziri vipi hujiamini kutetea mafuta ndani ya Muungano ? Basi uelewe kuwa ndio yametoka hayo hakuna cha kufollow proper constitutional procedures wala nini,poleni sana kwa uchu.Mambo ya kukodishana na kuuziana bila ya kufollow proper constitutional procedures hayana nafasi tena Zanzibar. Bakieni nayo huko huko Tanganyika mkikodishana mkiuziana mkiwa na ubia ni huko huko.

  TPDC oil, gas pacts nullified - Zanzibar


  [​IMG]
  Water, Construction, Energy and Land deputy minister Tafana Kassim Mzee


  Zanzibar government has said that it does not recognize oil and natural gas exploration and extraction contracts signed by Union government through the Tanzania Petroleum Development Cooperation (TPDC).
  Water, Construction, Energy and Land deputy minister Tafana Kassim Mzee told the House of Representatives here that following the Zanzibar decision to remove the issue of oil and natural gas from the list of Union matters all the contracts have automatically been nullified.
  Mzee sounded the stance over the weekend when responding to various questions from the members of the House when he was winding up the budget debate of his ministry.
  He said all companies which entered into contract with the Union government through TPDF will be required to reapply to the Zanzibar government.
  The companies which have signed agreements to explore oil and natural gas in Zanzibar include Antrium Resource Ltd from Canada and Shell International of Britain.
  Mzee said that the companies were supposed to explore and extract oil and natural gas in blocks number 9 and 12.
  “All the oil and natural gas exploration and extraction contracts have been nullified following the House of Representatives’ decision to remove the matter from the list of Union matters,” the deputy minister said.
  He further said that the companies should be patient until the government forms an institution to supervise the issue of oil and natural gas exploration and extraction in the Isles.
  He said currently the Zanzibar government was preparing an energy policy which will be tabled in the October House before formulating the law to govern the issue of oil and gas.
  The Zanzibar House of Representative members have backed the move to remove oil and natural gas from the list of Union matters, but in his clarification on Friday last week, National Assembly Speaker Samuel Sitta said “it’s virtually impossible” to change the country’s constitution without approval of the Union House.
  Isles’ Water, Construction, Energy and Land Minister Mansour Yusuf Himid announced the stand on oil and natural gas last week when tabling the 2009/10 budget for his ministry, saying the decision was done for the benefit of the people of Zanzibar.
  Energy and Minerals deputy minister Adam Malima for his part, said: “The announcement by the Zanzibar minister was his own private decision and if there is a need to change anything, it must follow proper constitutional procedures
  Himid told the isles’ House last Wednesday that the decision would be communicated at the next round of the bipartisan talks on the Union set-up.
  The minister had told the House that the decision was reached at a meeting on June 9, this year after the members of the House expressed dissatisfaction over the report by a foreign consultant.
  This was a British firm commissioned to study the matter and advise the Isles’ government accordingly, which was done earlier this year.
  When reached for comment on the isles’ government move, the deputy minister for Energy and Minerals Adam Malima said that he’s not informed about the matter.
  “I’m not aware of the matter…you can get the answers from Zanzibar ministers because they know what is going on and therefore are in a better position to explain,” he said over the phone
   
 2. T

  T_Tonga Member

  #2
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2007
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi namshanga j.k katika hotuba yake ya sherehe za muungano yeye amesema tusizungumzie habari ya mafuta kitu ambacho amesema hakina uhakika wa kuwepo au kuchimbwa lakini hapohapo anasema tuongeleemapato yake ukumbi naomba mnifahamishe hivi alivyo sema jk kuhusu mapato hayo mapato sasa aliyo yasema tuyaongelee yatatokana na nini kitu ambacho amesema hakipo ? au niseme haya mafuta yapo kweli na ndio maana akasema tuongelee mapato naomba mnisaidie kuhusu suala hili
   
 3. B

  Bunduki Member

  #3
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwelte alichosema hakuna sababu ya kutoana macho kwa kitu ambacho hakipo bado, na ambacho kuna uwezekano kisiwepo kabisa. Maana kila linapotamkwa suala la mafuta kuna watu hawataki hata kusalimiana. Fikiria kiongozi wa serikali anasema eti
  " hapa utaifa tunauweka kando kwanza" kwa kti ambacho hakijapatikana, je kikipatikana?
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Lakini ananukuliwa hapo akisema kuwa tusijadili kitu ambacho hakipo isipokuwa tujadili namna ya kugawana mapato yake(ya hicho kitu ambacho hakipo). Halafu huku mamilioni ya fedha za walipa kodi zimetumika kumtafuta mshauri mwelekezi wa namna ya kugawana mafuta, huoni kuna namna hapo?
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Hapa hakuna kingine,, uchaguzi 2010 ndo unakaribia na kila mtu anataka asikike....
   
 6. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hayo ya mshauri siyo hasara. Pengine ndiyo yamewawezesha hao wa Zenj kufikia uamuzi wao wa sasa. Na nafikiri wanapita katika njia sahihi kabisa. sasa tuone nini kitajiri- kupinga azma yao- ni CCM, Bunge, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Rais wake Mheshimiwa Kikwete? Tusubiri tuone? lakini hata wale maandalizi wanasema mafuta kama yapo ni yetu.Tusiwadhulumu jamani.
   
 7. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .Sivyo unavyofikiria. Hapo kuna haki za watu. Ni lazima zisimamiwe.
   
Loading...