Zanzibar kuzuri, we acha tu!

hee kumbe wanauza mkojo wa firauni hadharani?
 
kuna vitu vyenye ncha kali huko...chukua tahadhari !!
 
Ukitaka urudi salama lazima uvae helment na bullet proof vest.
 
ukitaka urudi salama lazima uvae helment na bullet proof vest.

usiwatishe kule hakuna kina lwakatare na kibanda na mwangoso
refer video yake kukiri mipango michafu kabisa hata kina ponda ni malaika na tumuone sasa pengo alaani watu wake wanaopanga uhalifu....
 
Ukitaka urudi salama lazima uvae helment na bullet proof vest.
hayo mambo ya muda tu, bali uzuri wa hii sehemu unabakia kuwa pale pale!
 
Reactions: tz1

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…