""It took us more than 200 years of slavery and sufferings to come up with the revolution, na kwahivyo CUF/ZNP watuachie tupoe kwanza na madaraka yetu tuliyoyapata tarehe 12 January, 1964!!!
"
Tutaendeleza chuki na visasi hadi lini? Nina wasiwasi kama muandishi anaitakia mema Zanzibar na TZ kwa jumla
Ya Baba wa Taifa unayajua wewe. Wazanzibari- na namaanisha Wazanzibari halisi- wale kule Kusini Unguja na Kaskazini Unguja hawamuwamini Seif. Na narudia tena kama mseto ina maana ya kuturudishia Seif abadan-asilan. Pataimbwa hata hata miaka elfu.Wewe hufai hata kuwepo katika jamii ya binadamu ni RACIST ,halafu mna kitu mnakiogopa si bure ,ila mjue na kutambua mnachokiogopa kwa Seif kinaweza kutekelezwa na mtu yeyote yule ,na kitawaumiza vibaya sana pengine zaidi ya vile mnavyofikiria kutoka kwa Seif ,Seif aliitwa na Nyerere Butiama na Nyerere alitambua kuwa Seif ni kiongozi shujaa ,na Nyerere alimuomba Seif kitu ,hebu yatafute mazungumzo ya Seif na Nyerere ,uone baba yenu wa Taifa alivyomwamini Seif.
wana jamvi mimi ni mchanga kwenye siasa ila najaribu kufuatilia kwa karibu yanayojiri kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi....
kwenye taarifa ya habari ya saa2 usiku TBC1 mzee Msekwa alikuwa akihojiwa kuhusu hali ya Zanzibar. katika majibu/maelezo yake amesema wao kama chama wanafikiria uwezekano wa kutawala kwa mseto Zanzibar kwa maana ya kuwashirikisha CUF. ameanzia uchaguzi wa 1995,2000 na hata 2005 kuwa mshindi alizidi kwa tofauti ndogo sana na kuwaacha nje ya serikali watu waliopata kuungwa mkono na wapiga kura wengi kiasi hiki sio haki sana though ndio utaratibu tulionao. kwa watu kama Msekwa kusema wanafikiria i guess ndo wanshaamua hivyo!!angekuwa mwanaCCM mwingine ningehisi kuwa ni mawazo binafsi lakini siyo kutoka kwa makamu mwenyekiti wa CCM.
tetesi zingine nilizopata nje ya mahojiano ya Msekwa ni kwamba mkulu wa Zanzibar haafiki ktk hili ndo sababu hata mikutano kadhaa hajahudhuria akitoa visingizio kadhaa......
Naamini kuna mengi watu wanayajua kuhusu hili naombeni mtupe kwa ukamili jamani....
waota ndoto ya Nchana wewe. Kama wapiga kura ni Wa-zanzibari CUF hawawezi kamwe kushinda uchaguzi. Abadan-Asilan.Serikali ya mseto itawanyima CCM uhuru wa kuongea mikakati yao ya kuihujumu nchi kwenye vikao vya baraza la mawaziri. Ni mpaka hapo CCM watakapokuwa na nia njema na maendeleo ya wananchi wote na siyo manufaa binafsi basi hilo lawezekana.
Kama Karume hataki na wahafidhina wa Zenji wanagomea hilo basi itakuwa ni busara zaidi this time kwa JK kuruhusu matokeo halali ya kura Zanzibar yatangazwe na kwa hilo ni lazima CUF itakuwa mshindi halali.
kIVIPI, YAKHE?Ali Karume anaweza kuleta mseto...
Mtu wa Pwani . Tafadhali acha upuuzi huo. hakuna mtu anayejinasibu kwa sababu ya U-makunduchi? Hiyo ni hoja muflisi, Tafadhali Ndugu yangu. Chonde chonde. Usiwatong'onye watu wa kae.zanzibar ni ngumu sana siasa zake
maana kuna menge yasiojulikana
moja hata hio serikali ya zanzibar wa kusini hasa wa makunduchi wanajitahidi kutaka kuikamata peke yao, wanajitahidi kupeana vyeo vingi na kuwatupa wenzao wa kaskazini nje
sasa sikwambii wapemba watapata wapi nafasi ktk serikali hio
katizame tume ya uchaguzi ya zanzibar halafu uangalie wafanyakazi wa juu wangapi kutoka kaskazini angalia wizara ya elimu zanzibar wakurugenzi na hata walimu wakuu utaona huo ukweli
hawa wa kusini mie nawafanannisha na wayahudi zanzibar ni ngumu umoja wa zanzibar utaendelea kusambaratika ikiwa hatujajipanga