wana jamvi mimi ni mchanga kwenye siasa ila najaribu kufuatilia kwa karibu yanayojiri kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi....
kwenye taarifa ya habari ya saa2 usiku TBC1 mzee Msekwa alikuwa akihojiwa kuhusu hali ya Zanzibar. katika majibu/maelezo yake amesema wao kama chama wanafikiria uwezekano wa kutawala kwa mseto Zanzibar kwa maana ya kuwashirikisha CUF. ameanzia uchaguzi wa 1995,2000 na hata 2005 kuwa mshindi alizidi kwa tofauti ndogo sana na kuwaacha nje ya serikali watu waliopata kuungwa mkono na wapiga kura wengi kiasi hiki sio haki sana though ndio utaratibu tulionao. kwa watu kama Msekwa kusema wanafikiria i guess ndo wanshaamua hivyo!!angekuwa mwanaCCM mwingine ningehisi kuwa ni mawazo binafsi lakini siyo kutoka kwa makamu mwenyekiti wa CCM.
tetesi zingine nilizopata nje ya mahojiano ya Msekwa ni kwamba mkulu wa Zanzibar haafiki ktk hili ndo sababu hata mikutano kadhaa hajahudhuria akitoa visingizio kadhaa......
Naamini kuna mengi watu wanayajua kuhusu hili naombeni mtupe kwa ukamili jamani....

kiongozi upo?ulipotea sana au kwa sababu ya mfungoKuhusu serikali ya mseto hiyo imeongelewa sana hata miaka ya nyuma lakini mpaka leo hakuna kitu kama hicho. So hi nayo inaweza ikawa paying lip service tu. Lakini hata wakiweka serikali ya mseto ni lazima ujiulize hao wengine watapewa nafasi zipi serikalini? Na ratio ya kila chama serikalini itakuaje?
Hi Ngida,
>Jamani, ndugu zangu Waznz, tafadhalini acheni tabia hii mbaya mlioirithi toka siku za ukoloni wa kisultani!
Acheni tabia hii ya mababu na mabibi zenu, kwani wakati sasa ni mwengine!>
Hii tabia wewe mwenyewe umeandika kuwa tokea kabla ya Mapinduzi ilikuwepo sasa leo na sisi tukiiendeleza kunaubaya gani wakati tumeirithi tokea huko nyuma?
Au umesahau nani alipata kura nyingi katika chaguzi za 1961 na 1963 na nani alipewa serikali?
Au mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu?
Ngida, what is good for the goose is good for the gander!Kwahivyo, tuachie tuendelee na tabia yetu hio tulioirithi kutoka kwa Sultani wetu na wakoloni wenziwe!
Nd. Lampart,
Sasa inamaana kabla ya Mapinduzi ASP walikuwa wakipata kura nyingi na still serikali wakipewa ZNP? Kutokana na hali hii unataka kwa sasa japokuwa CUF inapata kura nyingi lakini still serikali wapewe CCM?
Nd. Lampart, what is this called? New wave of democracy in the Isles?
Tafadhali tuwekee wazi, kwani in 1964 some of us were still in diapers!
Hivi wewe hujui CUF ndio wanaoiba kura huko Pemba. Angalia nini wanakifanya sasa huko Pemba. Mseto sio tatizo. Wa-zenj ni kweli wataalamu wa Mseto. Lakini mseto huo usiwe ni agenda ya kumrudisha Seif madarakani (hebu na akae chonjo apumzike-kwani CUF hawana wengine wanaofaa?). Kama ni hivyo abadan-asilan!!!!!hiyo ni dhahiri kuwa ccm walikuwa wanaiba kura kwa upande wa zanzibar na 2010 naona hawataki tena dhambi hii ya wizi wanachofanya wanajiandaa kuweka utaratibu utakaowashirikisha kuunda serikali itakayoongozwa na upinzani
hiyo imezungumzwa sana lakini kimantiki ya kisiasa na historia yetu haijafanyika na sio leo tu tangu ezi hizo za waarabu mbona hawakuyafanya hayo. Usiseme wapizani kupewa madaraka ya chini hiyo ipo maana mawizarani mwetu wamo wa upande wa upizani na tunaenda nao pamoja na tuna wafahamu vizuri tu, ila hii ya mseto hiyo anasema kama yeye msekwa tu. Watafute yaowana jamvi mimi ni mchanga kwenye siasa ila najaribu kufuatilia kwa karibu yanayojiri kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi....
Kwenye taarifa ya habari ya saa2 usiku tbc1 mzee msekwa alikuwa akihojiwa kuhusu hali ya zanzibar. Katika majibu/maelezo yake amesema wao kama chama wanafikiria uwezekano wa kutawala kwa mseto zanzibar kwa maana ya kuwashirikisha cuf. Ameanzia uchaguzi wa 1995,2000 na hata 2005 kuwa mshindi alizidi kwa tofauti ndogo sana na kuwaacha nje ya serikali watu waliopata kuungwa mkono na wapiga kura wengi kiasi hiki sio haki sana though ndio utaratibu tulionao. Kwa watu kama msekwa kusema wanafikiria i guess ndo wanshaamua hivyo!!angekuwa mwanaccm mwingine ningehisi kuwa ni mawazo binafsi lakini siyo kutoka kwa makamu mwenyekiti wa ccm.
Tetesi zingine nilizopata nje ya mahojiano ya msekwa ni kwamba mkulu wa zanzibar haafiki ktk hili ndo sababu hata mikutano kadhaa hajahudhuria akitoa visingizio kadhaa......
Naamini kuna mengi watu wanayajua kuhusu hili naombeni mtupe kwa ukamili jamani....
Hivi wewe hujui CUF ndio wanaoiba kura huko Pemba. Angalia nini wanakifanya sasa huko Pemba. Mseto sio tatizo. Wa-zenj ni kweli wataalamu wa Mseto. Lakini mseto huo usiwe ni agenda ya kumrudisha Seif madarakani (hebu na akae chonjo apumzike-kwani CUF hawana wengine wanaofaa?). Kama ni hivyo abadan-asilan!!!!!
kiongozi upo?ulipotea sana au kwa sababu ya mfungo
""It took us more than 200 years of slavery and sufferings to come up with the revolution, na kwahivyo CUF/ZNP watuachie tupoe kwanza na madaraka yetu tuliyoyapata tarehe 12 January, 1964!!!
wao kama chama wanafikiria uwezekano wa kutawala kwa mseto zanzibar kwa maana ya kuwashirikisha cuf. Ameanzia uchaguzi wa 1995,2000 na hata 2005 kuwa mshindi alizidi kwa tofauti ndogo sana na kuwaacha nje ya serikali watu waliopata kuungwa mkono na wapiga kura wengi kiasi hiki sio haki sana