Haaiogopi, wanailani. Ndiyo siku Mkoloni alipotaka kukamilisha biashara ya utuma. kunawa mikono kutukabidhi utumwani. Hata mwezi haukupita Mashujaa wakapindua. Nasikia CHADEMA wanasema tusherehekee Tanganyika tar 9 Des na Zanzobar 10 Des kumkumbuka Sultani na Shamte.