Bob_Dash Member Nov 1, 2010 90 13 Nov 1, 2010 #1 Nimejaribu kupitia blog ya HAKINGOWI, amejaribu kuweka matokeo ya Urais kutoka katika majimbo kadhaa na inaonesha CCM wanaongoza kwa kishindo, lakini baadhi ya wanachama wa CUF inaonekana kutokuridhishwa na matokeo hayo. Nazidi kutafiti zaidi
Nimejaribu kupitia blog ya HAKINGOWI, amejaribu kuweka matokeo ya Urais kutoka katika majimbo kadhaa na inaonesha CCM wanaongoza kwa kishindo, lakini baadhi ya wanachama wa CUF inaonekana kutokuridhishwa na matokeo hayo. Nazidi kutafiti zaidi