Wanajamvi ...
Sijui kama hili ni jukwa sahihi lakini naomba msaada...
Ninafanya maadalizi ya kuwapeleka wafanyakazi wenzagu (15) visiwani Zanzibar (bila familia zao) kupumzika siku nne na pamoja na mambo mengine kufanya hili zoezi la kufahamiana vizuri (Team Building)..
Kwa yoyote anayefahamu hoteli nzuri visiwani humo (Unguja) naomba msaada wa contacts, e.t.c. Ningejaribua kutumia "google" and the likes lakini sitapata maelezo sahihi kama kwa mtu ambaye alishakwenda na kukaa mahala pale..
Natanguliza shukrani