Zanzibar Heroes

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Kitendo cha wachezaji wa Zanzibar Heroes iliyoshiriki michuano ya CECAFA huko Uganda na kushika nafasi ya tatu kugawana zawadi kiasi cha dolla 10000,bila kuishirikisha management ni kutokana na kutokujua taratibu au ni makusudi au wachezaji huo hawafaidi chochote kutokana na zawadi inayotolewa?kiutaratibu,hiyo zawadi inatakiwa apewe nani?muongozo wanajamii
 
Kwa taratibu za Tanganyika na Zbar, zawadi huenda kwa chama cha soka, halafu wachezaji husubiri sehemu ya michango ya wadau kama pongezi kwao. Au hujui makato ya chama la soka weye? Uliza Serengeti boys yaliyowapata!!!!!!!!!!!
 
Kama walimtosa kocha na bench zima la ufundi, basi hawakufanya 'fair play'. Lakini ngoja tusubiri mwongozo wa utaratibu wa mgawo wa zawadi kutoka kwa wanajamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…