Habari inaelezea Zanzibar, sio TanzaniaTanzania bila umeme inawezekana.
Hiki nacho ni kihoja cha 2017Habari inaelezea Zanzibar, sio Tanzania
Umeme ukikatika znz mtu unakosa amani kabisa, hii tabia ya kutukatia umeme naona imeshika kasi tangu wiki iliyopita, wanasubiria mlale kidogo tu wanakanyaga waya bila hata taarifa ya kukatika kwa umemeAlhamdullah wameurudisha, ujumbe umewafika, maana hili joto sio mchezo, nilikuwa uwani nje na watoto wangu, nyumba hailaliki
Viongozi wao wanatumia kodi zetu bila ya wasiwasi, nyumba bure, na magenerata full diesel.. Sizani watakukumbuka wewe wa kisauni na mie huku Jumbi...Umeme ukikatika znz mtu unakosa amani kabisa, hii tabia ya kutukatia umeme naona imeshika kasi tangu wiki iliyopita, wanasubiria mlale kidogo tu wanakanyaga waya bila hata taarifa ya kukatika kwa umeme
Dah! Saa nyingine unajiuliza hivi hawa watu wana macho na masikio kweli?Viongozi wao wanatumia kodi zetu bila ya wasiwasi, nyumba bure, na magenerata full diesel.. Sizani watakukumbuka wewe wa kisauni na mie huku Jumbi...
Dah! Saa nyingine unajiuliza hivi hawa watu wana macho na masikio kweli?Viongozi wao wanatumia kodi zetu bila ya wasiwasi, nyumba bure, na magenerata full diesel.. Sizani watakukumbuka wewe wa kisauni na mie huku Jumbi...
Habari inaelezea Zanzibar, sio Tanzania
Mimbuu balaaYaani haya ya Zanzibar ni aibu kwa CCM, umeme umezimwa Zanzibar nzima usiku huu, joto balaa, sijui huko mahospitalini...
Zanzibar wanashindwa kuwa na emergency power?
MkuuMuwe munamshukuru mungu kwa kila hali kuna maeneo huku bara anbayo kieneo ni makubwa mara tatu ya zanzibar watu wanatumia vibatari.
Kuna maeneo hata uwe huna umeme poa,
Ndugu zetu wavisiwani mbona huwa wabinafsi hivi?Tofauti na nyumba za nyasi...