Zanzibar haihitaji upuuzi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar haihitaji upuuzi huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ami, Nov 5, 2011.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  The Zanzibar government is set to establish “one-stop centres” to offer services to victims of sexual and gender-based violence in all districts across the isles.
  “These centres will speed up assistance offered to victims of sexual and gender-based violence like medical care and legal action against suspected offenders,” said Zanzibar Minister for Women, Child and Youth Development Zainab Omar Mohamed.
  The minister was speaking at a joint press conference on gender-based violence, which kicked off yesterday. It is organised by the International Conference of Great Lakes Region (ICGLR).
  She said the move came after realising that gender-based violence especially rape cases were increasing on the islands.
  The proposed centres will be known as ‘Mkono kwa Mkono’ whereby victims would be required to report sexual assault cases immediately to those centres.
  She, however, said “One Stop Centre” had been established at Mnazi Mmoja central hospital whereby all facilities for the gender-based violence victims had been installed including a laboratory for testing the victims, a counselling office and a resting room for those who could not be discharged immediately.
  The new facilities will also provide medical care to gender-based violence victims.
  “Our target is to address gender-based violence on the isles,” she said, adding that the Zanzibar government established a law that penalised the culprits up to 30-year imprisonment.
  “We are very strict on this and we’re determined to contain gender-based violence in Zanzibar,” she said.

  IPP MEDIA
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  sijaona msimamo wako mpost thread kuhusu hilo suala. maoni yako ni yepi? sema mapema kabla sijatoa tafsiri yangu na kukupa tuhma za bure..
   
 3. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,703
  Likes Received: 2,384
  Trophy Points: 280
  Nini hapa kinaendelea?
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  si huyu ami ameleta hoja nyepesi ya kopi an paste bila kusema ni upuuzi gani wasioutaka wazanzibari!
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  crap...
   
 6. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nilichokusudia kusema ni kuwa wazanzibari hawajawa na tatizo kama hilo.Hao mawaziri ni watekelezaji tu wa malengo ya watu wa ulaya yenye sura nyingi.Wakitaka kujua matatizo ya wazanzibari na kwengine kote waanzie chini kuyatafiti na sio kushusha suluhisho pasipo tatizo.Ulimbukeni wenu ndio kifo cha munaowaongoza.
   
 7. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kama hakuna wewe una wasi wasi gani? Si acha tu vituo vikose wateja. Waliosema wana takwimu za matukio hayo sasa wewe mwananchi wa kawaida unajuaje extent ya gender violence kiasi cha kushindana na asasi zinazoshughulikia masuala hayo? Mimi nilichokiona hapa wewe ni mkandamizaji kwa wanawake na ndio maana unachelea kuwa wa kwanza kuathirika na huduma hii ya kisheria. (Usiogope, haitakukataza kuoa wake wa4 Ami)
   
 8. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  huyu atakuwa mbakaji ndo maana hataki 'upuuzi' wa waziri wake
   
 9. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  kuna upuuzi gani hapo?
   
 10. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  thank you yakhe for being there!
   
 11. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwanza naomba kuelimishwa Zanzbar ni nchi au sio nchi?. Kama ni nchi,nchi gani ambayo haina jeshi la ulinzi na haina amiri jeshi mkuu?. Hili swali siku zote halijibiwi kiu kamilifu,linafunikwa funikwa tu. Sijui kuna utata gani kufafanua hili.Tujuzane kwanza ndipo hata mijadala mingine ya Zanzbar ita noga!.
   
 12. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  ni nchi iliyovamiwa na Tanganyika mwaka 1964
   
 13. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 180
  zanzibar ni nchi iliyo chini ya wakoloni weusi kutoka Tanganyika.,
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kujua tatizo ni nusu ya kulitatua ndugu. Nini kinakufanya ukane uwepo wa madhila hayo Zanzibar? Nafahamu kwa mfano, mchezo wa kuingiliana kinyume na maumbile kule ndio umekita mizizi. Tatizo lenu hampendi kusikia ukweli...
   
 15. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa majibu mazuri ila bado sijaelewa-Kabla ya 1964 je Zanzbar iliwahi kuwa na Jeshi lake yenyewe la ulinzi,na je amiri jeshi wake mkuu mzalendo alikuwa nani? Tuendelee kuelimishana ndugu zangu.
   
 16. Biznocrats

  Biznocrats JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibar haitakuja kuwa nchi mpaka pale wazanzibari mtakapoacha unafiki. Utakuta mzanzibari anaupiga vita muungano kweli kweli. Akishapewa madaraka kimyaaaaaaaaaaaa. Anakukuwa wa kwanza kuutetea muungano bila hata haya!!! Sijaona hata chama kimoja chenye asili ya Zanzibar chenye msimamo wa kweli wa utaifa wa wazanzibari. Kama kweli mnataka utaifa wenu basi kuwe hakuna muungano kabisa. Kila nchi ibakie kivyake na utawala wake. Je kuna chama chochote Zanzibar chenye msimamo kama huu? Cha afueni utasikia kinataka serikali tatu. Serikali ya tatu ya nini kama kila nchi ina serikali yake yenye mamlaka kamili? Hiyo serikali ya tatu itakuwa na kazi gani zaidi ya kufuja hela za wanachi? Tatizo lenu ni kwamba walioanzisha vyama huko zanzibar maslahi yao mengi yako Tanganyika ama iwe mali zisizohamishika au soko kutokana na ukubwa wa Tanganyika. Sasa hawako tayari kuona muungano unakufa kabisaaaaaaaaaaaaaa. They want to eat a cake and still have it!!!!!!!!!!!
  Wakati ni huu. Mchague kusuka au kunyoa kuelekea katiba mpya.
   
Loading...