Zanzibar Election Petition :

mshindi atangazwe, kurudia uchaguzi ni sawa na kuchezea kodi za watanzania kwa ulafi na kungangania madaraka. ifike pahala ccm waone uruma na aibu kwa kuchezea amani,kodi,na mamuzi ya wazanzibar.
 
mshindi atangazwe hizo fedha za kurudia uchaguzi zipelekwe kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
 
PUMBAVU NILIDHANI CUF WAMEPELEKA SHAURI MAHAKAMANI!!!!! NAJUA HAWAWEZI KWA KUWA SEIF KWA KIJITANGAZA MSHINDI ALIFANYA KOSA LA JINAI! MTEGO HUO!!!
kesi ya ngedere kuiba mahindi apelekewe nyani? utakuwa mwehu wewe.
 
Back
Top Bottom