VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Huku kukiwa hakuna chama cha upinzani Zanzibar kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na CCM,Rais wa Zanzibar yu njiani kutoka kivingine. Taarifa za kiuchunguzi zinaonesha kuwa Dr. Shein amepanga kuunda Serikali kutumia wanachama wa CCM tu na hivyo kuiweka kando SUK itakiwayo kikatiba.
Taarifa zinasema kuwa Dr. Shein ameapa kutokwama kuunda Serikali kwakuwa tu hakuna chama cha upinzani cha kushiriki kwenye SUK. CCM,huko Zanzibar,imezoa viti vyote vya Urais,Uwakilishi na Udiwani. The new episode nears fast!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam