Zanzibar: CUF hawaepukiki

Unashindwa kuiuliza hiyohiyo katiba
Ikitokea mtu akapata 99%
pia inakuwaje??
hiyo katiba imeweka ukomo wa Asilimia kwa mshindi!?
Wewe ni kituko tu unataka kutufurahisha,
 
Ngoma nzito za mahesabu

#Shein_Kajiibia_Kura.!

Tume ya Uchaguzi Zanzibar imemtangaza Dr.Ali Mohamed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi kwa kupata kura 299,982 kati ya kura halali 341,895. Mgombea wa ADC Hamad Rashid ametajwa kupata kura 9,734 huku kura zilizoharibika ni 13,538.

Kwa mujibu wa ZEC Shein kapata asilimia 91.4% ya kura zote halali zilizopigwa. Lakini je ni kweli Shein kapata 91.4%?? Je Kura 299,982 ni sawa na 94.1% ya 341,895??

#JIBU: Si kweli. Kura za Shein (299,982) ni sawa na asilimia 87.7% ya kura zote halali (341,895) na sio asilimia 91.4% kama ilivyotangazwa na ZEC. (Kokotoa mwenyewe hapo ulipo kama una calculator).

Niliwahi kusema CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Wamejiibia kura wenyewe halafu wakasahau hata kujumlisha. Aibu kubwa hii.

Kama kwenye uchaguzi waliokuwa wenyewe bado wamefanya "cheating", CUF wangeshiriki ingekuaje? Yani uchzguzi mko wenyewe bado mnajiibia kura halafu mnashindws hata kujumlisha?

Halafu waandishi wa habari wanapewa matokeo na asilimia zikiwa controvesy lakini wanashindwa hata kuhoji. Waandishi wetu nao ni shida. Ndugu zangu waandishi si mngemuuliza Jecha mbona asilimia zinapishana na idadi ya kura.?

Au ili mngemuuliza tu kistaarabu "Hivi bwana Jecha simu yzko haina hata calculator?" Yani Jecha anazidiwa akili hata na mwanafunzi wa darasa la 3 (A) shule ya msingi Yombo Buzza kwa Mama Kibonge.

Aisee ili kuwaelewa CCM unahitaji "degree" nyingi sana za ujinga. #Shame.!

Malisa GJ.!
 
bado huijui siasa na bado hutambui kwanini Magufuli alitamka yale huku Zanzibar kukiwa tayari kumetangazwa Mshindi.....
 
wito wangu kwa cuf waachane kabisa na ccm , wasithubutu kushirikiana na ccm katika jambo lolote , la kisiasa wala la kijamii , washirika wa ccm kwenye uchaguzi huu tumewaona ni polisi , wanajeshi na vifaru , ccm iunde serikali ya mseto kwa kushirikiana na vyombo vya dola .
 

Tusiombe ifike huko.
 




Acha upunguani we kiwavijeshi,CUF haina cha kupoteza katika mazingaombwe yenu na wala haina sababu za kusubiri busara za huyo firauni wenu aliyetangazwa na jecha.

Uchaguzi uliopita ambao ndiyo unaotambuliwa na CUF na Jumuiya za Kimataifa,CUF ilishinda viti vyote Pemba na viti 9 unguja na Washindi wapo na walikabidhiwa vyeti vyao vya ushindi.Subiri vikao vya Baraza la wawakilishi ndiyo utaona mziki wake.

Sarakasi za aina hii zinapatikana Tanzania chini ya uratibu wa ccm tu,haiwezekani zec ufute uchaguzi wote kwa kisingizio cha kasoro kwenye majimbo ya Pemba,kama Pemba ndipo waliposema kuna kasoro,kwa nini wasingefuta majimbo ya Pemba uchaguzi ukarudiwa huko badala ya kufuta nchi nzima ya Zanzibar?
 
watafanyaje??. katiba haikueleza nini kifanyike ikiwa hali itakuwa hivyo?
Ikitokea hivyo, nafasi ya makamu wa kwanza wa rais kitapewa chama kingine cha upinzani cha pili kwa idadi ya wingi wa wawakilishi.
 
Tusiombe ifike huko.

HATUOMBI NDUGU YANGU LAKINI KUMBUKA MWOSHA HUOSHWA, SIWEZI TABILI NI NINI KINAWEZA FUATA EXACTLY, LAKINI KWA UBAKAJI HUU, SIWEZI SHANGAA LOLOTE LINATOKEA.
 
Ikitokea hivyo, nafasi ya makamu wa kwanza wa rais kitapewa chama kingine cha upinzani cha pili kwa idadi ya wingi wa wawakilishi.




Tafsiri ya sheria si "mku.ndu" kwamba kila mtu anao wake,acha kutafsiri katiba kwa muono wako wa kifisiemu we zezeta la kijani uliyevimbiwa viwavijeshi.Katiba ya Zanzibar imetamka bayana sifa ya chama kinachopaswa kutoa makamo wa kwanza wa Rais.

Kwa matokeo haya aliyoyatangaza jecha baada ya "kupigwa upofu na Mwenyezi Mungu",alisahau hata takwa la kikatiba na akaamua kumpa Dk.Sheitwan 91.4%.Sasa hivi Kazinduka amekuta kalikologa mnaanza kuwaomba CUF warudi kwenye meza ya mazungumzo.Sharti la kurudi kwenye mazungumzo ni moja tu,mazungumzo yajikite kwenye uchaguzi wa 25 Oktoba na si huu wa kisukule uliofanyika jana.
 
bado huijui siasa na bado hutambui kwanini Magufuli alitamka yale huku Zanzibar kukiwa tayari kumetangazwa Mshindi.....
Hogera wewe unayeijua siasa kuliko watu wote. Huyo Magufuli wako humfahamu kama ninavyomfahamu kwa kufanya naye kazi zaidi ya miaka ishirini. Endelea na blanketi la Magufuli
 
Mantiki ya makamu wa rais ilitokana na mvutano wa siasa za Z'bar! Sasa kama imetokea chama kimeshinda kwa 91.4% ushirikiano na chama kingine unatoka wapi? Hata muafaka wa CCM na CUF ulitokea baada ya CCM kushindwa vibaya chaguzi za nyumba. Kuna haja gani ya kushirikiana na chama chenye 3%?. Isitoke muafaka ulikuwa baina ya CCM na CUF na sio CCM na Upinzani.
 
Nahisi wewe ni mwanasesere, Huo muziki baraza la wawakilishi titauona toka kwa watu gani, wanaoingia kwa tiketi ya chama gani? Kama usiepunguani hujui uchaguzi huu ulihusu Wawakilishi pia tutakuitaje. Wambie vyeti vyao wakachambie wa halali wameshapatikana subiri matokeo ya wawakilishi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…