Zantel ni muda wenu huu kujitanua

Zantel ni muda wenu huu kujitanua

road master

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
2,064
Reaction score
3,021
Nichukue nafasi hii kuishauri kampuni ya simu ya Zantel kujitangaza hasa mikoani kwakua uhitaji wenu ni mkubwa mno,baada ya makampuni mengine kuonesha kiburi kwenye mauza hasa ya data za internet nyinyi zantel mmeonesha kutujali wananchi na hamdokoi data kama ilivyo nitandao mingine ambapo ukiweka au kujiunga nao ndani ya muda mfupi wanakutumia ujumbe kua umetumia 90% ya MB 500 walizo kuuzia kwa sh 1500
Wananchi tunataabika kasa tunasaka line zenu hatupati.
Nawashauri fanyeni haya
1)piteni kwenye vyuo vikuu vilivyo mikoani na kufanya promo za nguvu
2)piteli kwenye madulio yaliyo mikoani mfanye promo za nguvu
Hayo yata waboost sana sana wananchi wamechoshwa na utapeli wa haya makampuni kongawe
 
halotel pia wako sawa ila 4G yao inasuasua! Sinza hakuna 4G ila kibamba ipo! haahaha hawa nao wagoloko kweli
 
hiyo zantel nami nimesajili juzi ila maeneo niliyopo ya ubungo kibangu 4g haikamati kabisa na 3g yao inasua sua sana
 
Nichukue nafasi hii kuishauri kampuni ya simu ya Zantel kujitangaza hasa mikoani kwakua uhitaji wenu ni mkubwa mno,baada ya makampuni mengine kuonesha kiburi kwenye mauza hasa ya data za internet nyinyi zantel mmeonesha kutujali wananchi na hamdokoi data kama ilivyo nitandao mingine ambapo ukiweka au kujiunga nao ndani ya muda mfupi wanakutumia ujumbe kua umetumia 90% ya MB 500 walizo kuuzia kwa sh 1500
Wananchi tunataabika kasa tunasaka line zenu hatupati.
Nawashauri fanyeni haya
1)piteni kwenye vyuo vikuu vilivyo mikoani na kufanya promo za nguvu
2)piteli kwenye madulio yaliyo mikoani mfanye promo za nguvu
Hayo yata waboost sana sana wananchi wamechoshwa na utapeli wa haya makampuni kongawe
Tungeomba kampuni walioinunua TIGO/ZANTEL hili walifanyie kazi haraka. Vifurushi vyao vya data ni rafiki na pia speed sio mbaya. Shida iko kwenye upatikanaji wa line na kwa upande wa Ezypesa.
 
Hv airtel wanatengeneza special no
 
Hawa jamaa yapata mwezi sasa wamebana kasi ya internet yao, hovyo sana
 
Back
Top Bottom