aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
kama kuna waziri wa sasa aliyewai kufanya kazi BOT lazima matumbo yatakuwa joto na kama alikuwa na safari lazima ahairisheMuhongo ni mzuri kiutendaji ila kwa upande wa utawala sijui wala hapendi kuandikwa kwenye magazeti sasa hizo front Page unazosema sijawahi kumwona akiandikwa kwa mazuri zaidi tuhuma mbalimbali ila kiujumla Muhongo namkubali
Leo mmeanza kukataana?? Au hamjuani!! Mmoja bk7 fc mwingine group of 46majungu tu... ufipa wenzio wako mwanza kumchagua meneja wa saccos sijui umebaki ufipa unafanya nn?
Mkuu nashukuru kwa maoni yako. Maoni yako ni muhimu kama yangu yalivyo. Tusibiri tuone mkuu. Ila nashukuru kwa maoni.Kweli haya ni majungu. We huoni hata aibu kusema pumba hizo hapa? Muhongo we wala usihangaike nae bora uache maana hakuna atakayechochea na JPM akamsikiliza. Hivi unafikiri JPM hajui utendaji wa Muhongo? Acha hizi rafiki tafuta story nyingine ulete hapa. Umbeya hausaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Acha Majungu ya chuki na fitna zandiki. Kwa hiyo wewe unakula kwa Mengi sio!?Mkuu we nitukane! Kama unakula kwa muhongo usiwe na wasiwasi iko siku utanikumbuka kwa post hii.
subiri mkipata umeya wa darWanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba
2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.
3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.
Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.
Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.
Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"
Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.
Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.
Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.
Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.
Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.
Kama ni majungu ndugu yangu tafuta majungu mengine hakuna mtu anayekubalika na wafanyakazi wa MEM kama Muhongo ni wezi na wabadhirifu tu ndio wanaomchukia , wewe unaonekana ni JIPU , kwa sasa hivi wizara hii Muhongo amefungua uwazi wa mawazo na watumishi kushirikishwa kwenye mambo mengi yanayohusu maendeleo na kazi za kila siku, sasa haya umeyatoa wapi wewe na majungu yako. Ameondoa kundi ambalo lilikuwa likidhani lenyewe lina haki na kila jambo kati wizara kwa fedha na mawazo bado watu wamchukie acha hizo . Umeonekana kama umetumwa wewe na hutafanikiwa . Watumishi wanamkubali maana kila jambo lipo wazi. Hata fursa za elimu ambazo zamani zilikuwa ni kwa wachache sasa zipi wazi kwa kila mtumishi.WanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba
2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.
3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.
Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.
Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.
Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"
Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.
Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.
Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.
Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.
Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.
ongea na mazuri basi ya muhongoWanaJamii,