zamu kwa zamu

Duuh amenikumbusha nyimbo ya zamani saana, Baba bembeleza mwana analia ooo analia oooo
 
ankara tutafute saa ngapi?????

Eti ankara!!!
Mngekuwa hamuwaambii kina mama wafanye maarifa every now and then,yenu mnataka kusaidiwa yetu tufanye wenyewe fully inahuu?
 
Eti ankara!!!
Mngekuwa hamuwaambii kina mama wafanye maarifa every now and then,yenu mnataka kusaidiwa yetu tufanye wenyewe fully inahuu?

mimi si wa aina hiyo mama tena ujiheshimu, ankara zangu ni za kukata na si kuhesabu, kama uliolewa na wakiume badala ya mwanaume utajuta kuzaliwa, by the way nakukaribisha kwangu kama mke wa tano
 
kabisaaaaa.....mtoto si wetu sote....

Wewe binti, Afrika hatufanyi hivyo! Sio issue ya mtoto kuwa wetu sote, kuna mambo mengi yanatazamwa katika kumlea mtoto, bila kusahau mila (zisiwe kandamizi)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…