Zambia Magharibi nao wanataka kujitenga

Duuuu dhambi ya kujitengaa na kuzinduka kwa wanaonyonywa na wanyonge....wasiwasi wetu na hapa tz zitakuja kufika tuu....mikoa ya pembezoni mtwara,lindi,songea...kigoma ,rukwa etc....time will tell let's wait and see.....duania kw akarne mpya ya mageuzi ya kifikra na mtazamo wa kudai haki za wanyonge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…