Zamani walichagua kabila kuoa

Zamani walichagua kabila kuoa

Japkas

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
6,473
Zamani iliwezekana lakini kwa sasa haiwezekani. Makabila yaliyoaminiwa zamani kwa sasa kuna watu fake ndani yake. Endeleeni kuchambua makabila
 
Lazima kabila lijulikane mbona mkienda police mnaulizwa kabila hamsemi chochote acha hizo basi
 
fake kwenye orijino hailingani na fake kwenye fake, ya mwisho inakuwa fekero.
 
Hakuna kabila lililokosa kasoro labda kama limeshushwa toka mbinguni.
 
Ukitaka kuona uzuri wa kuchambua watu subiri uanze kuchambuliwa.
 
Back
Top Bottom