Hata sasa ni raha.....isipokuwa raha za sasa zinategemea na kiwango cha uchumi au uwezo wako wa kujipendekeza kwa wenye nazo.......
waliofeli ndio walienda private schools, ilikuwa aibu mtu kusoma pte school. leo ni sifa kusoma au kusomesha pte schools.
Ilipoanza misemo ya kutesa kwa zamu miaka ya 90 katikatii wengine mpaka sasa tunasubiri zamu yetu haijafikaHata sasa ni raha.....isipokuwa raha za sasa zinategemea na kiwango cha uchumi au uwezo wako wa kujipendekeza kwa wenye nazo.......
kweli kabisa....ilikua ni darau kubwa kitaa kwa mtu anaesoma private school
karudi baba mmoja toka safari ya mbali-matibabu ilikuwa bure. Hospitali za binafsi hazikuwepo labda za misheni.
-ukivaa chupi ilikuwa ni dili kubwa!
-hakukuwa na skini taiti
-viatu ilikuwa tunanunua bora
-nyumba 10 alikuwa anaheshimika kama hakimu. Ukigombana na mkeo anakwenda kushitaki na kulala kwa mjumbe
-ukimwi ulikuwa hakuna zaidi ya kisonono na kaswende
-wasichana wa kazi walikuwa bwerere siku hizi ni shida!
-hakukuwa na magril kwenye milango na madirisha
-nyerere alikuwa kama mungu
-kawawa alikuwa alionekana kama kichekesho kwa stori za "kawawa funika kikombe"
-tulifanywe tuamini kuwa kambona ni adui wa nchi yetu na nyimbo tuliimba
-wakati ule wanafunzi kwenda kufanya kazi za mwalimu nyumbani kwake ilikuwa ni heshima kubwa, sasa hivi ni kesi
-mashairi ya "karudi baba mmoja" na "sizitaki mbichi hizi" yalikuwa kichwani kwa kila mwanafunzi
-jioni zilikuwa ni nyakati za kupiga hadithi na vitendawili au michezo ya kujificha. Siku hizi ni kuangalia tv
nitaendelea......
Sisi wengine kiama chetu hapa hapa duniani....huko kwa muumba ni kukamilisha itifaki tu.........Ilipoanza misemo ya kutesa kwa zamu miaka ya 90 katikatii wengine mpaka sasa tunasubiri zamu yetu haijafika
karudi baba mmoja toka safari ya mbali
kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali
wakata na kauli iwafae maishani
.....................................................
Roho naona yashindwa kifo kibenikabili
.........................................................
Kama mataka mali mtayapata shambani
waliofeli ndio walienda private schools, ilikuwa aibu mtu kusoma pte school. leo ni sifa kusoma au kusomesha pte schools.