Zama zetu , zama zao..

Hapo nimekusoma.. Utotoni ilikuwepo hii kitu bado, tuliitumia sana aisee
 
Mkuu hujaelewa picha au?

Hivi picha nayo ni ya kuilezea?,anyway...

Kipindi cha 80's na 90's hii products ilikuwa ikitumika sana kwenye mambo ya maakuli!


Kwani sasa hiyo kimbo inatumikaje???
 
Tanbond ile ya mwanza, supa ghee, voil, yale mafuta ya morogoro moproko, du wakati ule ilikuwa Tanzania ya viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…