Zama za Mafanikio ya Elimu nchini Tanzania

Zama za Mafanikio ya Elimu nchini Tanzania

Jacko medo

Member
Joined
May 30, 2022
Posts
6
Reaction score
5
Wadau naomba tujadiliane kidgo kuhusu miaka ambayo elimu ya Tanzania ilikuwa na value(thamani) katika soko la ajira yaani miaka ya 90 na sasa ambapo inaonekana dhahiri elimu yetu haina thamani katika soko la ajira,
Je tofauti ya ubora wa elimu kipindi hicho na sasa ni tofauti? Au kuna sehemu tumekwama kuendana na matarajio ya soko? Je nini kifanyike em tupieni maoni yenu wadau?
 
Back
Top Bottom